Historia ya Mrisho Mpoto na siri yake ya kuvaa magunia

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam wakuu.

Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu background ya ndg yangu, kaka yangu Mrisho Mpoto. Amezaliwa wapi, amesoma wapi na n kabila gank huyu mtu.

Uvaaje wake wa magunia source yake n nn?Haonagi aibu au familia yake inamwonaje labda!

labda tu mwenye A.B.C za Mpoyo atiririke hapa chap.

asante.
 
Mrisho Mpoto ni Mgoni wa Songea
2714f6e3423599830bd9c8b74a721d63.jpg
c0ad13333b3c947504cd894ad46d5967.jpg
50aea5b887f70100dd87dc199b3841ac.jpg
 
Kila analofanyaga mnaiga sasa igeni na kutembea pekupeku,,,

Ni mmoja wa wasanii wabunifu bongo
Mmoja wa wasanii ambae sio rahis kumcopy
Msanii ambae anapiga hela nying za wazungu
Msanii ambae anaanda ndege bila viatu mpka ulaya
Msanii ambae ni yy pekee anaewakilisha nchi ktk matamasha ya tamaduni mbalimbali za dunia
Msanii ambae tungo zake zina mafumbo makubwa sana
Msanii ambae harus yake ilikua na vtu yte vya kiasili
Msanii ambae ana akialikwa ikulu anaenda pekupeku
Msanii ambae alikuaga kuli pale kigoma
Msanii anaetumia NDAGU ya kutembea peku ili afanikiwe
 
Huyo boya katishia sana watoto enzi zile.
Haha, nakumbuka movie zilizokuwa zinanitisha ni Nsyuka na Roho mbili...
nilikuwa nikitazama nsyuka basi ndani siingii pekeangu hata nikitumwa,
na roho mbili ilinitesa sana kwenye suala la kwenda Toilet... Nilikuwa nikioga sijipaki sabuni usoni manake sikutaka kufumba macho hata sekunde moja kwa hofu ya kutokewa na roho mbilii
 
Back
Top Bottom