Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

Huyu mzee alijipaka matope baada ya mkewe kuvua nguo adharani kisa usaliti sasa hivi hana tena jipya zaidi ya kuanza kulima kwao huko moshi

Ninqchompenda magufuli ni kwamba kwake mambo ya kina mama na matukio yao hayawezi kimkwamisha kufaanya kazi na watu wenye uwezo

Alinifurahisha zaidi alipokuwa anafungua barabara ya mpakani na kenya alisema ikiisha hii barabara wazee wa kazi mnaweza kuwa na mke mmoja tanzania mungine huku kenya...

Actually Magufuli ni jembe...mwanaume halisi hatishiwi na vivuli vya kanga...

Magufulii...ita kanali masawe kwenye safu yako....
 
Ninqchompenda magufuli ni kwamba kwake mambo ya kina mama na matukio yao hayawezi kimkwamisha kufaanya kazi na watu wenye uwezo

Alinifurahisha zaidi alipokuwa anafungua barabara ya mpakani na kenya alisema ikiisha hii barabara wazee wa kazi mnaweza kuwa na mke mmoja tanzania mungine huku kenya...

Actually Magufuli ni jembe...mwanaume halisi hatishiwi na vivuli vya kanga...

Magufulii...ita kanali masawe kwenye safu yako....
Anaingiaje magufuri kwenye huu Uzi? Au ndo unautafuta UDC kinguvu? Achana kabisa kumlinganisha na huyu mtu
 
Huyu Meja General Muhideen Kimario Taaluma yake ya kijeshi alisomea Israel pamoja na Watanzania wenzake 15 na wote walikuwa wakitumia Passport za Mataifa tofauti bila ya kujijua kwa kuwa Mwl Nyerere alikuwa ana mahusiano mabaya na Israel kutokana na Siasa zao za kizayuni hivyo isingekuwa rahisi kukubaliwa kusoma lakini walikuja kujuana siku waliporudi kupiga Timamu kwa Mwl Nyerere baada ya Mafunzo. Huyu Muhidin pia aliwahi kuwa Waziri enzi za Mzee Mwinyi 1985-1990.
Kuna akina Afande Mayunga 'Mti mkavu hauchimbwi dawa'. JWTZ lilisheheni vipaji vya hataree si mchezo sijui siku hizi hali ikoje huko!
Big up kwa taarifa mkuu Pohamba. Chengine ninachoweza kukumbuka kuhusu kimario ambacho kinaweza kumuunganisha na Jenerali Kiwelu ni nafasi kubwa aliyitekeleza Kimario kwenye juhudi za kuwasaidia ndugu zetu wa kusini mwa afrika kujikomboa na makucha ya wakoloni. Kwa mfano mda flani alikuwa mkuu wa kituo cha kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji pale nachingwea. Vile vile baadae alikuwa mkuu wa kikosi maalum (SDU) cha kusimamia mapambano dhidi ya wakoloni kusini mwa afika. That's how we collects some useful bits of information to reconstruct the history of the past. Human beings, as individuals, never existed in isolotation. cc to mdau flani nitamtafuta baadae. Mkuu Pohamba thanks for supporting my claim, and my stance, in this war!!!
 
Huyu Meja General Muhideen Kimario Taaluma yake ya kijeshi alisomea Israel pamoja na Watanzania wenzake 15 na wote walikuwa wakitumia Passport za Mataifa tofauti bila ya kujijua
Mkuu samahani hao 15 wengine kina nani?
 
Yaani kumbe wazalendo tuko wengi na tunafanana katika kuamini kwenye haki na wajibu tafauti yetu wengne wamepewa au wamepata nafasi kuonesha hilo wengne bado, mazngra na history hatuna
 
Alitolewa nachingwea Jion akicheza mpira akaitwa Dar es salaam alipofika akaitwa Ikulu akafikia Kuapishwa bila ya kujua anakuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ!
Kwny Vita vya Kagera aliitwa Ikulu saa 7 usk akatakiwa aelekee eneo la Mapambano CDF wake Abdallah Twalipo nae tayari alikuwa eneo la Mapambano.
Sheria yake Mkipanda nae Gari Moja wote Marufuku kuzungumza na simu zenu wote lazima ku swtch off kutokumchanganya dereva.
Alielekea Vitani Mkewe akiwa na ujauzito Mkubwa akajifungua wakati Afande Tumainiel akivuka Mto kagera Mtoto akapewa jina la Kagera.
Ndie aliekuwa Msaidizi wa Bregadia Generali Hashim Mbita kupiganisha vita vya ukombozi Sourthern of sahara!
Nimeipenda hii
 
The Boss,

..nimeona ktk bandiko lako kuhusu jeshi/taifa kumtunza Gen.Kiwelu.

..kuna ukumbi ktk chuo cha maofisa Monduli ambao umepewa jina la Gen.Kiwelu.

..mimi mtizamo wangu ni kwamba moja ya makambi makubwa ya jwtz yanapaswa kuitwa jina la huyu afande ili kuutambua utumishi wake uliotukuka.

..mchango wa Gen.Kiwelu ktk vita ya Kagera ni wa kipekee. Nasema hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba ndiye aliyekwenda mstari wa mbele na kuongoza operation ya kukomboa ardhi ya Tz iliyokuwa imetekwa na majeshi ya Iddi Amin.

..kwa hiyo jukumu la kuandaa vikosi vyetu kwa ajili ya vita liliangukia mikononi mwa Gen.Kiwelu.

..baada ya ardhi ya Tz kukombolewa Gen.Kiwelu alirudi makao makuu na kuendelea na majukumu yake kama mnadhimu mkuu wa jwtz wakati wa vita.

..lakini pia ukumbuke wakati jwtz wanapigana uganda tulikuwa na askari waliokuwa wakilinda usalama Seychelles.
 
Ana mke mkuu na watoto watatu, wawili wa kike na mmoja wa kiume...familia yake ipo dar...

Mkuu watoto wake wawili Yule wa exim bank na aliye soma chuo kikuu zenji ndio ninao wajua natamani wangekuwa na Sifa Za Mzee !
 
Back
Top Bottom