Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

Leo nimeona mahojiano yenye ya mwandishi Livingstone Ruhere na Jenerali Tumaniel Kiwelu kwenye gazeti la Raia Mwema la jana ambae anaweza kuileta hapa naomba afanye hivyo kwa faida ya wana JF na kizazi cha sasa.

Mimi nimekuwa nikimsikia huyu mtu akisifika kwa uzalendo na uchapakazi.
Alipokuwa mkuu wa mkoa Tabora akajenga uwanja wa Mpira Ali Hassan Mwinyi stadium, enzi hizo ndo ulikuwa uwanja best Tanzania..haukuisha moja ya sababu alihamishwa kabla hajaumalizia.

Na alipoenda mkoa wa Rukwa akajenga uwanja mwingine wa mpira Nelson Mandela stadium ulikuwa mzuri kuliko uwanja wa Uhuru wa Dar..

Ukitazama jinsi alivyoweza kufanya kitu ambacho viongozi wa kitaifa hadi wasubiri misaada ya nchi za nje na bajeti kuubwa ndo wanaweza fanya hata robo. Yeye ilikuwa tu 'akiamua kitu anaanza tu hadi mwisho'..

Sasa hayo ni ya miaka ya 80 kabla ya hapo ndo kuna yale ya Vita vya Uganda na mengine zaidi ya jeshini.

Kuna kitu nimekiona leo..kumbe huyu Jenerali alikuwa msomi na mkufunzi jeshini ilikuwa kidogo tu asome kile chuo maarufu England cha kijeshi Sandhurst..

Hawa wazalendo wachache sana ambao tunapaswa kuwa na mitaa yenye majina yao sio mitaa inaitwa Barrack Obama...
Alisoma Sandhurst mkuu, kwa taarifa yako alikuwa ndiye mwafrika wa kwanza kupata Alama ya A kwenye chuo hicho.
 
Nyie raia, waulizeni askari na maafisa walio kuweko jeshini wakati huo. Sio kudanganyana hapa. Hasa vita vya kagera na Maisha ya Gen Kiwelu jeshini.
 
RIP mzee Kiwelu ,Mzee alikuwa na binti ya mtoto mmoja Mkali Sana alisoma jitegemee then miaka ya hivi karibuni alikuwa Exim Benk binti alikuwa mtamu Sana mitaa ya Oyestarbey
Sio yule Aliyegombea umiss nahisi jina lake in Nelly Kiwelu
 
Huyu jamaa alikuwa shujaa haswa ila kitendo cha yeye kuzikwa uzaramuni ni kinyume kabisa cha mila za wachaga na ushujaa na historia yake itafutika punde tuu mazishi yake yatapokwisha
 
Si shujaa tena kama atazikwa kwenye ardhi ya wazaramo na sio Mamba moshi kwao
 
Nyie raia, waulizeni askari na maafisa walio kuweko jeshini wakati huo. Sio kudanganyana hapa. Hasa vita vya kagera na Maisha ya Gen Kiwelu jeshini.
inaonekana 1978 hukuwepo, ndio maana unataja nyie Raia, hujachimba handaki mtaani kwenu basi hata JKT au mgambo ungeenda ungetunza hii Historia adimu, sio mnavyolazimishwa leo mbadili Historia
Hao Maofisa na Askari waliokuwa mstari wa mbele wamo humuhumu JF na ukitaka majina utapewa na hata sasa wanachangia
 
Mjinga wee.. zimekuwa huko tangu 1973/2004 aujazaliwa bado.
 
Basi ni maajabu Mkuu, jaribu kupitia hata JKT hutapishana nazo hizo taarifa kuliko kuzisikilizia mitaani
wapo kina Echolima kina Tangawizi hapo utapata kila kitu cha mwaka 1978/1979 hapo una miaka mitano hujaanza chekechea
 
inaonekana 1978 hukuwepo, ndio maana unataja nyie Raia, hujachimba handaki mtaani kwenu basi hata JKT au mgambo ungeenda ungetunza hii Historia adimu, sio mnavyolazimishwa leo mbadili Historia
Hao Maofisa na Askari waliokuwa mstari wa mbele wamo humuhumu JF na ukitaka majina utapewa na hata sasa wanachangia
achana na huyo mshamba ndiyo wanaoharibu sura nzuri ya jeshi letu
 
Sawa. Kwa nini alirudishwa nyuma kabla majeshi ya Tanzania kuvuka mpaka kwenda Uganda? Kama.....mmmmmmm
Kwa wakati ule, jeshi lilikuwa na wasomi wachache sana, hivyo Mwalimu alilazimika kumrudisha makao makuu ya jeshi ili aweze kushirikiana kwa karibu na viongozi wa wizara husika katika manunuzi ya silaha na mahitaji mengine ya kijeshi.

Na hili alilifanya kwa ufanisi mkubwa sana, aliweza kusafiri kwenda ufaransa, uingereza, bulgaria, china, urusi pia alifanikiwa kuishawishi nchi moja ya ulaya kutokuiuzia uganda silaha. Hii lilihitaji uzoefu mkubwa na mtu anayefahamu vizuri masuala ya kijeshi.
 
Alitolewa nachingwea Jion akicheza mpira akaitwa Dar es salaam alipofika akaitwa Ikulu akafikia Kuapishwa bila ya kujua anakuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ!
Kwny Vita vya Kagera aliitwa Ikulu saa 7 usk akatakiwa aelekee eneo la Mapambano CDF wake Abdallah Twalipo nae tayari alikuwa eneo la Mapambano.
Sheria yake Mkipanda nae Gari Moja wote Marufuku kuzungumza na simu zenu wote lazima ku swtch off kutokumchanganya dereva.
Alielekea Vitani Mkewe akiwa na ujauzito Mkubwa akajifungua wakati Afande Tumainiel akivuka Mto kagera Mtoto akapewa jina la Kagera.
Ndie aliekuwa Msaidizi wa Bregadia Generali Hashim Mbita kupiganisha vita vya ukombozi Sourthern of sahara!
Masahihisho,aliitwa ikulu akitokea Songea
 
Naam

Naam nakumbuka ilikuwa ni kipindi ambacho Gama alikuwa mkuu wa Mkoa wa Tabora ndipo uwanja ulijengwa na timu ya Mirambo ilikuwa tishio
Taarifa ya nyongeza kuhusu uwanja wa Tabora. Kanisa Katoliki lilihusika katika ujenzi wa uwanja huo. Papa Yohani Paulo wa Pili alitembelea Tanzania mwaka 1992. Mbali na Dar-es-Salaam, alizuru Songea, Tabora na Moshi. Kwa Tabora alikaa masaa tu; hakulala. Kati ya vitu alivyovifanya akiwa Tabora ni Kusoma Misa. Wakati huo ujenzi wa uwanja wa Tabora ulikuwa ukisuasua. Uongozi wa Kanisa ukaamua kuchangia hela nzuri tu kuharakisha ujenzi huo ili Papa apate mahali muafaka pa kusomea Misa. Mchango wa Kanisa haukuishia kwenye ujenzi wa uwanja tu bali hadi kukarabati barabara za hapo mjini Tabora ambazo Papa alikuwa apite. Mgeni njoo; mwenyeji afaidi.
 
1623015267551.jpeg

Kushoto: Brigedia Tumainieli Kiwelu kamanda mkuu wa operation chakaza.
Kulia: Kanali Ahmed Kitete mkuu wa mipango ya kivita operation chakaza.
 
1623033406116.png

Right to Left: General.Tumainieli Kiwelu anayesalimiana na Magufuli[r.i.p], General.Robert Mboma anayesalimiana na Samia Suluhu, General.Mirisho Sarakikya, na Dr.Hussein Mwinyi.
 
Kwa wakati ule, jeshi lilikuwa na wasomi wachache sana, hivyo Mwalimu alilazimika kumrudisha makao makuu ya jeshi ili aweze kushirikiana kwa karibu na viongozi wa wizara husika katika manunuzi ya silaha na mahitaji mengine ya kijeshi.

Na hili alilifanya kwa ufanisi mkubwa sana, aliweza kusafiri kwenda ufaransa, uingereza, bulgaria, china, urusi pia alifanikiwa kuishawishi nchi moja ya ulaya kutokuiuzia uganda silaha. Hii lilihitaji uzoefu mkubwa na mtu anayefahamu vizuri masuala ya kijeshi.
Siyo kweli. Wakati ndiyo nilikuwa na wasomi wengi sana. Arty, BM-21 MK 46 130mm. Na SP 152mm wote ni wasomi sana. Airforce. Bn ya Tank T55, T60. Na ukumbuke vijana wa JTK waliokuwa jeshini wakati. Kwanza kiwelu ni FormIV ya zamani.
 
Leo nimeona mahojiano yenye ya mwandishi Livingstone Ruhere na Jenerali Tumaniel Kiwelu kwenye gazeti la Raia Mwema la jana ambae anaweza kuileta hapa naomba afanye hivyo kwa faida ya wana JF na kizazi cha sasa.

Mimi nimekuwa nikimsikia huyu mtu akisifika kwa uzalendo na uchapakazi.

Alipokuwa mkuu wa mkoa Tabora akajenga uwanja wa Mpira Ali Hassan Mwinyi stadium, enzi hizo ndo ulikuwa uwanja best Tanzania..haukuisha moja ya sababu alihamishwa kabla hajaumalizia.

Na alipoenda mkoa wa Rukwa akajenga uwanja mwingine wa mpira Nelson Mandela stadium ulikuwa mzuri kuliko uwanja wa Uhuru wa Dar..

Ukitazama jinsi alivyoweza kufanya kitu ambacho viongozi wa kitaifa hadi wasubiri misaada ya nchi za nje na bajeti kuubwa ndo wanaweza fanya hata robo. Yeye ilikuwa tu 'akiamua kitu anaanza tu hadi mwisho'..

Sasa hayo ni ya miaka ya 80 kabla ya hapo ndo kuna yale ya Vita vya Uganda na mengine zaidi ya jeshini.

Kuna kitu nimekiona leo..kumbe huyu Jenerali alikuwa msomi na mkufunzi jeshini ilikuwa kidogo tu asome kile chuo maarufu England cha kijeshi Sandhurst..

Hawa wazalendo wachache sana ambao tunapaswa kuwa na mitaa yenye majina yao sio mitaa
Maandishi yake hayapo popote
inaitwa Barrack Obama...
 
Back
Top Bottom