Tusimsahau na mzalendo mwengine meja generali Mkuhidini Kimario. Uwanja wa Kirumba mwanza nategemea upo mchango wake mkubwa
Mkuu Ngongo, moja ya sifa kubwa ya historia ni kukusanya vipande vya taarifa kutoka vyanzo na pembe tofauti kwa maudhui moja. Gen. Kiwelo hauishi peke yake ila wapo waliomzunguka. Ukichanganya pamoja hizi taarifa kiuchambuzi ndio unapata hiyo historia ya Gen. KiweluMdau kaomba historia ya Gen Kiwelu wewe unakuja na Kimario ?.
Siyo mkapa wa TanzaniaMwaka huo 1994 Mkapa alimteua Gen Kiwelu kuwa Mkuu wa mkoa?kwa mamlaka yapi?
Duh,mkuu umeandika kwa lugha ya kistaarabu sana,ubarikiwe nawe mtumishi!Shukrani kwa masahihisho. Nadhani ni mwishoni mwa utawala wa mzee Mwinyi. Mungu akubariki kwani Mkapa hakuwa Rais mwaka 1994.
Nauliza tu! sasa hivi Kiwelu yuko wapi?
Mkapa aliwezaje kumteua mkuu wa mkoa mwaka 1994 wakati hakuwa rais?Mkuu The Boss nikusahihishe kidogo: uwanja wa Ali Hassan Mwinyi haukujengwa na Jenerali Kihwelu bali ulijengwa kwa michango ya wananchi wa Tabora chini ya uongozi wa Mkuu wa Mkoa marehemu Lawrence Gama. Nakumbuka nilikuwa Tabora miaka hiyo na lengo la ujenzi lilikuwa ni kuadhimisha miaka 11 ya kuzaliwa CCM sherehe ambazo kitaifa zilifanyika Tabora. Nakumbuka vizuri kwa sababu nilicheza gwaride la chipukizi kwenye sherehe zile. Jenerali Kihwelu aliteuliwa na Mkapa kuwa Mkuu wa Mkoa nadhani kuanzia mwaka 1994. Naomba kuwasilisha.
Simulieni kuhusu kufukia wachimbani wadogo wadogo huko Buliyankulu.Amesettle kagera anafuga kule misenyi. Yooote semeni ila huyu Kamanda kwenye vita alikuwa miongoni mwa makamanda wajakamavu kwelikweli na alitoa mchango mkubwa sana
Yani we katika yote unakumbuka kula tu, kama we ni mtoto wa kiume ni hasara, mmmmmm... Kula tu ndo unakumbuka!Tulikuwa tunamkabali sana shy huyu jamaa kila akija home ilikuwa full kula tu. Namkumbuka mwingine somebody banduka sema nilikuwa mtoto sana.
Kanali Fabian Masawe alikuwa jembe
Upuuzi kama huo pelekeni Facebook😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ilikuwaje hata kuvua nguo Hadharani....Huyu mzee alijipaka matope baada ya mkewe kuvua nguo adharani kisa usaliti sasa hivi hana tena jipya zaidi ya kuanza kulima kwao huko moshi
He is good but one mistake katika pilikapilika zake zooote aliua watu wa kutosha pale BULYANHULU wakati mwekezaji akikabidhiwa eneo kwa ajiri ya uchimbaji wa dhahabu.Wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu wakiwa chini ya mashimo, yeye aliamulisha magreda yafukie hayo mashimo.Katika tukio hilo aliua watu wengi saaaana.
Tusimsahau na mzalendo mwengine meja generali Mkuhidini Kimario. Uwanja wa Kirumba mwanza nategemea upo mchango wake mkubwa