Historia ya Jakaya Kikwete

Ila mbona hakukata jina lake? Kwani wakati huo ndio alikuwa Rais na angeweza kufanya hivyo, hebu jibu hili swali basi!
Mkapa alikuwa karibu na Magufuli hivyo Kikwete aliamua kukubali maana Mkapa hakuwa wa mchezo chochote kingetokea.
Hivyo ndio maana kwenye kampeni kama alisusa.
 
😁😁😁
1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Pia rais mpya alilalamika kwa kukuta hazina haina fedha, mbali na madeni ya kimataifa kufikia kiasi cha karibu Shilingi za Tanzania milioni 1 kwa kila mwananchi.
Mnafiki mwendazake yule alilalamika nini wkt na yeye alikuwa Miongoni mwa wana timu!!!....Mitanzania mlivyo mijinga ukiwemo wewe mkalipigia makofi li mahutu lile!! ...naongea stukani!!

kwanza Gujiwe watanzania hawakulipenda!! lililazimisha tu kwa kuiba sana!!! Kikwete alipendwa mno mpaka kesho! !! ! na lile baraza lake jiwe! looote lilikuwa ni la wanafiki tupu!! leo hii ilifaa lipigwe chini lote!
 
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Kikwete mwana wa Msoga, tujaribu kurejea historia yake.

Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu tarehe 21 Desemba 2005 hadi tarehe 5 Novemba 2015.

HISTORIA YAKE
Amezaliwa 7 Oktoba 1950 katika kijiji cha Msoga, kata ya Lugoba, tarafa ya Msoga, jimbo la uchaguzi la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani.

Lugha ya mama ilikuwa Kikwere.

Alizaliwa katika familia ya wanasiasa. Babu yake Mzee Mrisho Kikwete alikuwa chifu wa Wakwere. Baba yake alikuwa Mkuu wa Wilaya Pangani, Same na Tanga.

Jakaya Kikwete amesimulia hadithi ya kifamilia ya kuwa wakati mama yake alipokuwa mja mzito naye, babu alitamka kuwa ikiwa mtoto atakuwa wa kiume atampatia urithi wa cheo chake.

Masomo Na Elimu
Miaka 1958 – 1961 akasoma Shule ya Msingi Msoga, halafu 1962 – 1965 Shule ya Kati (Middle School) Lusonga, halafu Shule ya Sekondari Kibaha akiongeza A-level huko Shule ya Sekondari Tanga.
Pia alishawahi kusoma shule kama Karatu primary na Tengeru

Kuanzia mwaka 1972 alisoma uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimaliza kwa kupata digrii yake mwaka 1978.

Akajiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Jakaya aliposoma Shule ya Sekondari ya Kibaha alikuwa mwenyekiti wa wanafunzi na pia wa Vijana wa TANU. Katika Shule ya Sekondari Tanga alikuwa Kiranja Mkuu na pia kiongozi wa timu ya mpira. Katika UDS alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wanafunzi.

Kupanda ngazi katika siasa
1mwaka huu alikuwa mkulima wa Msoga. Mwaka 1988 akateuliwa kuwa mbunge na waziri msaidizi. Mwaka 1990 alichaguliwa kuwa mbunge wa Bagamoyo/Chalinze akirudishwa kila uchaguzi hadi mwaka 2000. Akawa waziri akipita katika wizara za maji na fedha.

Mwaka 1995 alijaribu kuchaguliwa kuwa mgombea wa urais upande wa CCM. Inasemekana ya kwamba Mwalimu Julius Nyerere alimwomba wakati ule kumwachia nafasi Benjamin Mkapa aliyeteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Kikwete akawa Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali zote mbili za Mkapa.

Mwaka 2005 alifaulu kuteuliwa mgombea wa CCM kwa nafasi ya rais akashinda uchaguzi wa Desemba 2005 akizoa 80% za kura zote.

Miaka kumi ya urais
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alitangazwa tena mshindi ingawa kwa asilimia ndogo zaidi na kwa wasiwasi kuhusu uwezekano wa matokeo kuchakachuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi aliyoiteua mwenyewe. Katiba ya nchi hairuhusu kukata rufaa dhidi ya tangazo la tume hiyo.

Katika miaka mitano iliyofuata, rais aliendelea kusafiri sana nje ya nchi, kiasi kwamba alikaa ughaibuni siku nyingi kuliko zile alizokaa nchini Tanzania.

Hali ya mwisho ya nchi ilifananishwa na mwandamizi wake John Magufuli kuwa kama "shamba la bibi", ambamo kila mtu anaweza kuchuma anavyotaka. Pia rais mpya alilalamika kwa kukuta hazina haina fedha, mbali na madeni ya kimataifa kufikia kiasi cha karibu Shilingi za Tanzania milioni 1 kwa kila mwananchi.

Heri ya kuzaliwa mzee wa Msoga
 
Attachments

  • IMG_1419.MP4
    532.2 KB

Asante kwa kutujuza tumekuelewa vyema sana.
 
Uliandika histori ya Mwinyi kwa mbwembwe nyingi umezikosaje kwa jakaya?
 
Ipo vizuri sana
 
Uliandika histori ya Mwinyi kwa mbwembwe nyingi umezikosaje kwa jakaya?
Hii kwa jakaya imejikita katika historia ya kawaida nasi maisha yote.
Labda niandae nondo nyingine kuhusu Mheshimiwa Jakaya.
 
Raisi pekee mwanajeshi kamili tena graduate wa kijitonyama pale enzo zile!!!hatari Sana!!alikua anajiamini Sana hakuwatumia polisi kuzuia mikutano ya siasa!!!
 
Back
Top Bottom