Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pengine umeonyesha JK kuhitimu mwaka 1975 kwa kuchukua kwamba alijiunga na chuo mwaka 1972.Kasomi,
..JK ali-graduate Udsm mwaka 1975.
..taarifa kwamba amehitimu mwaka 1978 umezitoa wapi?
..waandishi wa Tz sijui mna matatizo gani.
..kwanini mko hivyo? kwanini hamfanyi uchunguzi wa kutosha kuhusu mambo mnayoandika?
Mkuu pengine umeonyesha JK kuhitimu mwaka 1975 kwa kuchukua kwamba alijiunga na chuo mwaka 1972.
Lakini kumbuka wapo wengine hapo katikati hutokea vitu vinavyoweza kuwafanya wasimalize kwa Muda husika hivyo hivyo kwa JK.
Ngoja nijipe muda ili kujilizisha zaidi karibuni nitaweka bayana uhalisia kama si huu au ni huu...mbona kuna taarifa mahali pengi kwamba amemaliza Udsm mwaka 1975?
..inaelekea hauko makini ktk uandishi wako.
..mwaka 1978 JK alikuwa makao makuu madogo ya CCM Zanzibar. Na kabla ya hapo alikuwa Singida, na alipata mafunzo ya ufisadi wa Jwtz.