Agamemnon
Senior Member
- Mar 28, 2018
- 121
- 291
Nakupa maelekezo, si commentKwa hy nawewe na wewe mmepoteza mda ku-coment kwenye ujinga, huon kama wewe ni mjinga square
Nakupa maelekezo, si commentKwa hy nawewe na wewe mmepoteza mda ku-coment kwenye ujinga, huon kama wewe ni mjinga square
Mtu mwenye akili hua ana ignore post anazoziona za kijinga, unapo comment au kutoa maelekezo Kwa njia moja au nyingine hy post imekugusaNakupa maelekezo, si comment
Tulia dawa ikuingieMtu mwenye akili hua ana ignore post anazoziona za kijinga, unapo comment au kutoa maelekezo Kwa njia moja au nyingine hy post imekugusa
Sawa mjinga squareTulia dawa ikuingie
Sijakulazimisha wala kukushikia fimbo Kwa hy usijaribu kutumia defense mechanism za kitoto, mim nimetoa mtizamo wangu usijaribu kunipangia kitu cha kupost eti Kwa sababu wewe ukubaliani nacho, hata hao wanascience wapingana wenyewe Kwa wenyewe
Mim sihitaji ruhusu ya wazungu kufikiri, we endelea kuisubiria hy ruhusa, unajua galileo ndo aliyesema dunian ni duara na akauliwa, na baada ya hapo wakaanza kutengeneza hizo hypothesis kupitia alichosema galileoSikupangii cha kupost, bila kupost ntakujuaje sasa?
Umetoa mtazamo wako nami nimetoa wangu, iwe somo sikuingine ujaribu kufikiria zaidi, na si kila ulifikirialo ni critical.. Ndio maana nikakuambia si kila hypothesis ni researchable.
Ulichofikiria hapo ni makande.
Sent using Unknown device
Mim sihitaji ruhusu ya wazungu kufikiri, we endelea kuisubiria hy ruhusa, unajua galileo ndo aliyesema dunian ni duara na akauliwa, na baada ya hapo wakaanza kutengeneza hizo hypothesis kupitia alichosema galileo
Mim nimepost mtazamo wangu kama nimekosea Kwa unadhan wewe sawa, Ila unauhuru wa kupost hizo hypothesis zako unazoziamin wewe ujakatazwa Kwa nin unajikita kukosoa bila kutoa ushahid (evidence)Isome tena hiyo post nimekueditia.... Umefanya kosa kubwa sana kuhusisha bible na origin ya dino,
Ukitaka nitakuongezea somo lingine ya extinction ya Dinosaurs ukitaka.
Chagua kimoja eidha sayansi au dini kuformulate hypothesis yako.
Sent using Unknown device
Typical tanzanian ni mabingwa wa kukosoa hakuna kingine wanachokijua zaid ya kukosoa
Na ndo point hiyo nilitaka ku convey.Kimetaja baadhi sio wote, point ya muhimu ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote had wale ambao hawajatajwa lakin wapo duniani hii ni Kwa wale wanaomuamin Mungu (Yahweh).
Daah eti ubwa ubwaUmekula ubwabwa wa wazazi umeshiba sasa unaandika ujinga ujinga