Idea ya 'space exploration' ilipoanzia

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Uandishi sio mzuri

Waliokua wanajenga mnara wa babeli ndo watu wa-kwanza kuja na idea ya space exploration, ile shauku ya kuataka kujua nin kilipo nje ya dunia wao ndo wa kwanza kuanzisha, tunachokiona Leo kwa nchi na wadau mbalimbali kutaka kujua maisha yakoje nje ya dunia kilianzia kipindi hicho cha mnara wa babeli

Kwanin space exploration and colonization
Kabla shetani hajakorofisha mbinguni solar system yote kulikua na maisha kuanzia mercury mpaka Pluto kwa lugha nyingine sayari zote kulikua na ozone layer na kulikua na viumbe hai, shatan na baadhi ya malaika walivyokorofisha kukawa na vita vikubwa sana ila Mungu alitoa damu yake kama sadaka ndo ukawa mwisho wa vita na shetan na wale malaika waasi wakalaaniwa,

Madhara ya Vita
Madhara ya vile vita yalipekea uharibifu wa mfumo wote wa jua solar system na universe ndo maana kama ukiangalia picha za sayari ya mars, mercury unaona kabisa Kuna Lea za maji means once upon a time kulikua na maisha na uthibitisho mwingine wa madhara ya Vita ni kuonekana kwa mifupa ya dinosaur, kwa lugha nyingine dinosaurs ni wahanga kati ya malaika wa Mungu na shetan na kundi lake.

Restoration
Ukisoma kitabu Cha mwanzo utaona kinasema neno ukiwa maana yake kulikua na kitu na Sasa hakipo ndo maana ukienda kwenye misiba utaona watu ni wakiwa, hata kwenye sayari nyingine zote bado Ile Hali ya ukimya ambayo ndo ukiwa upo, lengo la Mungu la kumuumba mwanadamu ni kuondoa ukiwa katika sayari zote zilizobaki ndo mpaka mwanadamu anaamini atakuja kutawala hizo sayari nyingine kwa sababu ni kitu ambacho Mungu alimwekea.
 
Haya mambo haya ni pasua kichwa kweli kweli ukichanganya dini na sayansi ndio kabisa mambo yanaharibika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Alichofanikiwa shetan ni kuweka distinction kati ya dini na science na amefanikiwa kwa asilimia 💯
Nakuhakikishia hakuna tofauti kati ya dini na science ni kitu kimoja na atakayeweza kutumia dini na science atafanya mambo makubwa sana
 
Back
Top Bottom