Historia ya Dinasours

dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Messages
248
Points
500
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2019
248 500
Nakupa maelekezo, si comment
Mtu mwenye akili hua ana ignore post anazoziona za kijinga, unapo comment au kutoa maelekezo Kwa njia moja au nyingine hy post imekugusa
 
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,498
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,498 2,000
Sikupangii cha kupost, bila kupost ntakujuaje sasa?

Umetoa mtazamo wako nami nimetoa wangu, iwe somo sikuingine ujaribu kufikiria zaidi, na si kila ulifikirialo ni critical.. Ndio maana nikakuambia si kila hypothesis ni researchable.

Ulichofikiria hapo ni makande.


Sasa tuliza mshono nikupe somo kijana,

Turudi hapo kwenye maandiko.. Yanasema Mungu aliumba mbingu na nchi, na ndani ya siku 6 aliumba viumbe na mimea pamoja na maji humo.

Viumbe tunaelewa ni wanyama ndege na vingine vya majini..

Kama hadi hapo tupo pamoja, sasa twende taratibu,

Dinosaur ni nani? Kwa Kingereza anafahamika kama deinos, meaning "terrible" or "fearfully great," and sauros, meaning "lizard" or reptile."

Na kule mwanzo biblia inatuambia Mungu aliumba viumbe, na huyu ni aina fulani ya mijusi mikubwa..


Tutaendelea siku ingine.
Sijakulazimisha wala kukushikia fimbo Kwa hy usijaribu kutumia defense mechanism za kitoto, mim nimetoa mtizamo wangu usijaribu kunipangia kitu cha kupost eti Kwa sababu wewe ukubaliani nacho, hata hao wanascience wapingana wenyewe Kwa wenyewe
Sent using Unknown device
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Messages
248
Points
500
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2019
248 500
Sikupangii cha kupost, bila kupost ntakujuaje sasa?

Umetoa mtazamo wako nami nimetoa wangu, iwe somo sikuingine ujaribu kufikiria zaidi, na si kila ulifikirialo ni critical.. Ndio maana nikakuambia si kila hypothesis ni researchable.

Ulichofikiria hapo ni makande.

Sent using Unknown device
Mim sihitaji ruhusu ya wazungu kufikiri, we endelea kuisubiria hy ruhusa, unajua galileo ndo aliyesema dunian ni duara na akauliwa, na baada ya hapo wakaanza kutengeneza hizo hypothesis kupitia alichosema galileo
 
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,498
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,498 2,000
Isome tena hiyo post nimekueditia.... Umefanya kosa kubwa sana kuhusisha bible na origin ya dino,

Ukitaka nitakuongezea somo lingine ya extinction ya Dinosaurs ukitaka.

Chagua kimoja eidha sayansi au dini kuformulate hypothesis yako.

Mim sihitaji ruhusu ya wazungu kufikiri, we endelea kuisubiria hy ruhusa, unajua galileo ndo aliyesema dunian ni duara na akauliwa, na baada ya hapo wakaanza kutengeneza hizo hypothesis kupitia alichosema galileo
Sent using Unknown device
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Messages
248
Points
500
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2019
248 500
Isome tena hiyo post nimekueditia.... Umefanya kosa kubwa sana kuhusisha bible na origin ya dino,

Ukitaka nitakuongezea somo lingine ya extinction ya Dinosaurs ukitaka.

Chagua kimoja eidha sayansi au dini kuformulate hypothesis yako.Sent using Unknown device
Mim nimepost mtazamo wangu kama nimekosea Kwa unadhan wewe sawa, Ila unauhuru wa kupost hizo hypothesis zako unazoziamin wewe ujakatazwa Kwa nin unajikita kukosoa bila kutoa ushahid (evidence)
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
371
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
371 1,000
Kimetaja baadhi sio wote, point ya muhimu ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote had wale ambao hawajatajwa lakin wapo duniani hii ni Kwa wale wanaomuamin Mungu (Yahweh).
Na ndo point hiyo nilitaka ku convey.
 
Blackush

Blackush

Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
7
Points
45
Blackush

Blackush

Member
Joined Jul 11, 2015
7 45
Bwana Denis
Sio kwamba ninakuoinga iala nadharia yako naona imejikita sana katika masuala ya maandiko
katika maandiko tunasoma katika mwanzo kuwa Mungu alipoumbna ulllimwengu akamumba kwanza mwanadamu ambaye alimuumba kwa sura na mfano wake (Mwanzo 1) ndipo akaumba wanyama wengine tena makundi kwa makundi
kwa maana hiyo sasa hii inathibitisha kuwa binadamu aliishi kabla ya viumbe wengine wote, kwahiyo binadamu alikuwepo hata kabla ya hao Dinosaurs hivyo kwa hiyo theory kweli mimi nitakupinga!
 
Blackush

Blackush

Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
7
Points
45
Blackush

Blackush

Member
Joined Jul 11, 2015
7 45
labda uniambie kuwa huenda walitoweka kutokana na shughuli za kibinaadam lakini pia tuthibitishaje kuwa ni kweliii
 

Forum statistics

Threads 1,315,270
Members 505,171
Posts 31,851,972
Top