Dude, mimi nilikuwa naongea casually tu hapa. Sikumaanisha na sikusema Tanzania nzima hakuna hata Exit sign hata moja. Ningekuwa nimesema hivyo na wewe au Vera kunionyesha hata moja tu, tayari mnge defeat nilichosema. Pointi yangu ilikuwa, Tanzania sehemu nyingi hazina hizo alama. Haina maana alama hazipo kabisa.
Babu, siyo kila lazima tukijadili kama tuko darasani tukizifukuzia A.Tunapiga stori tu hapa.
Yote mbaya tu.
Unajua kwa vile tunaongelea historia, tusisahau pia kuwa hili swala la insecurity nalo limechangia sana kuongeza ufisadi kwa maana mtu anajihami mpaka anapitiliza inakuwa siyo kujihami tena bali ulafi.
Nashukuru umeleta hii dimension maana huenda tunaweza kuichambua zaidi kama sehemu ya historia yetu.
Is that so?
Companero anaita kukimbilia kwa mjomba au shangazi ni Ujamaa.
Wewe hata kwenye relationship/ marriage unataka mikataba na stipulations. Go figure...
Yote mbaya tu.
Unajua kwa vile tunaongelea historia, tusisahau pia kuwa hili swala la insecurity nalo limechangia sana kuongeza ufisadi kwa maana mtu anajihami mpaka anapitiliza inakuwa siyo kujihami tena bali ulafi.
Nashukuru umeleta hii dimension maana huenda tunaweza kuichambua zaidi kama sehemu ya historia yetu.
Ni bora nipate msaada wa serikali kuliko wa mtu ambaye ataninyanyasa na kunisimanga.
And then you have the audacity ya kusema "Ndivyo tulivyo"
Ndivyo tulivyo kwa sababu hatujali preciseness, kuanzia na kudefine argument za "exit" sign mpaka mikataba ya ndoa.
Wakati wenzetu tangu wadogo wanafundishwa pre-nup ni nini, mkigongana kwenye corridor protocol zinasema nani ana right of way, etc etc.
Acha kuweka maneno mdomoni kwangu. Huo sio Ujamaa. Hata Muasisi wa Ujamaa alisema huo ni Ukupe. Ujamaa unapingana kabisa na Uvivu. Msingi Mkuu wa Ujamaa ni Kufanya Kazi - Kwa Pamoja! Watu waliosamehewa kufanya Kazi katika Ujamaa ni Vikongwe na Wagonjwa tu. Sio Wafuliaji!
Naam huo ndio Ujamaa. Serikali kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake - Afya, Maji na Elimu n.k. Kwa Kizungu wanauiita Social Welfarism.
And then you have the audacity ya kusema "Ndivyo tulivyo"
Ndivyo tulivyo kwa sababu hatujali preciseness, kuanzia na kudefine argument za "exit" sign mpaka mikataba ya ndoa.
Wakati wenzetu tangu wadogo wanafundishwa pre-nup ni nini, mkigongana kwenye corridor protocol zinasema nani ana right of way, etc etc.
Na Mwanzo wa huduma za kulipiaContemporary History:
1991: Kupitishwa kwa Azimio la Zanzibar
Na Mwanzo wa huduma za kulipia
Mbona ukawihi kuboronga. Sasa kama misingi ni kazi, kwanini bakuli nilikuwa litatembezwa nchi za wafadhili. Ina maana Tanzania ni nchi ya makupe basi.
Hapo ni Misungwi Mwanza...Hivi ndo vyoo vya Zenji?
Mkuu..kutembeza bakuli siyo tatizo la tz tu. Kama alivyosema Richard Dowden ( Kitabu chake kiitwacho Africa - Altered States, Ordinary miracles) the parternal r/ship between African rulers and former colonial powers is one of the most poisonous legacies of colonialism.Hakuna former colony lisilotembeza kopo - may be some are more aggressive kuliko wengine.Kujifaragua na kujifanya tunaondokana na ukoloni mamboleo halafu hapohapo tunaendeleza kupokea misaada hatuwezi tutabaki appendages milele.
Zakumi,
Mkuu unakosea sana unaposema Corruption index inaonyesha zaidi ktk nchi zilizokuwa zijijenga Utopia society kwa sababu sii KWELI.. Bara lote la Africa linaonyesha kinara wa corruption, hivyo wakati kulikuwa na nchi sii zaidi ya 10 ambazo zlikuwa upande huo. Bara lote la South America linagubikwa na Corruption zikiongoza CHile na Peru wakati nao ni nchi chache zaidi ziolizokuwa upande unaozungumzia..Tena basi venezuela walmetoka ktk Ubapari kuingia Ujamaa ndio wanaongoza jahazi zima la Kina Kipasa!
Na Hata Ulaya ni nchi Moja tu USSR ambayo ndio imevunjika na kupitia mitihani kama hiyo wakati corruption imetapakaa hadi Italy, Greece, Serbia, Turkey na kashalika. Na Asia ukiangalia utakuta nchi yenye unafuu ni China wengine wote bado wanagawana Umaskini. Kwa hiyo Ikitkadi sii sababu ya Corruptions kuwepo isipokuwa tunaweza kujiuliza zaidi kwa nini corruption imekomaa baada ya kuvunjika kwa Berlin wall na sio kabla..
Mkuu utaupima Ujamaa na Corruption wakati Itikadi hiyo inafanya kazi na sio baada yake kwani Ujamaa ulikuwa ukipinga Corruption na matunda yake yalionekana. Ikiwa wewe ulikuwa mtu wa dini na ukaweza kufanya mema kisha ukaacha dini yako na kuwa mpotovu hatuwezi kusema sababu ya upotovu wako unatokana na imani ile ya dini ulokuwa ukiifuata..Upotovu wako unatokana na imani hiimmpya ulokuwa nayo na sii vinginevyo..Ulikatazwa sana ulipokuwa na mwongozo sasa umekuwa huru kujiachia (pinzani na dini) ni vipi lawama ziende kwenye mafundisho ya Dini yanayo kukataza kufanya mabaya.
Kama yalivyo maisha yetu ndivyo Ubepari unavyofanya kazi.. kuna vishawishi vingi pindi watu mnapokuwa hamna imani ya itikadi yoyote isipokuwa ile ya Kishetani..Ubepari ni ushetani unaotangaza zaidi utajiri (Rich) wa mali na sii Utajiri wa hali ama Wealth. Leo hii nchi zote unazoziona ktk fungu la Ufisadi ni nchi ambazo zimepoteza mwelekeo, hawana mwongo ama hawakuwa na mwongozo from day one. Wenzetu wazungu wali import culture zao ktk kila Utaifa wa nchi walizozijenga na Itikadi ilikubaliana na mafundisho ya utamaduni wo ktk mazingira waliyokuwemo. Ndio maana wakaweza kuweka vitu kaa Apartheid kuhakikisha malengo yao yanapewa kipaumbele kabla ya haki za mtu mwingine. Marekani wanafagia Wahindi wekundu wote, Ufalme wa Malkia na kutumia imani ya kumjenga Mtu mweupe bila kujali anatokea wapi kuwa mmiliki halali wa Taifa hilo. France, UK, germany na wengineo wote wametumia culture zao ktk ujenzi wa Utaifa wao na sii nchi zote za Kijamaa ambazo zilikuja gawanyika sii kwa sababu ya kisasa zaidi ya Ukabila wao.
USSR imevunjika sii kwa sababu ya Utopia zadi ya kuwepo tofauti za KIkabila baina ya mataifa hayo. Reagan alitumia weakness hizo kuweza kuwatenganisha na hata kubomoa ukuta wwa Berlin akisema hawa ni ndugu kwa nini wanatengana kwa sababu ya Siasa jambo ambalo Marekani leo hawataki kabisa kuona likitokea Korea isipokuwa kwa Korea Kasikazini kukubali kuwa chini ya South ambayo wao wana control.