Historia fupi ya marehemu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio vizuri kumsema marehemu hasa kwa ubaya ama madhaifu yake
 
john umeondoka kipindi tunakuhitaji!hakika kimwili hauko nasi ila kiroho pamoja sana!pengo lako halitazibika milele

Kwani alipokua hai ukikua nae kimwili???

Maanake John Hamis sio wa mchezo mchezo
 
Hakustahili mauti kisa kugegeda. It was possible kumkodisha au kumfungia sehemu. Any way. Rip my rhino.
 
[emoji23][emoji23]loh mpk alikimbiwa
 
ha ha ha nimependa hapo kwenye kugawa dozi! ngoja na mimi nimuenzi marehemu kuanzia kesho ni kudunga mimba mimba tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…