Nadhani wewe ni Kibwetere (yule wakala wa shetani kule Uganda) na si Kibwete kama Id yako inavyoonyesha. Nimegundua baada ya Katibu mkuu wa CCM, Kinana kuhusishwa na tembo mnakuja na threads za ajabuajabu ili kuhamisha watu kwenye mijadala ya maana. Leo tembo wanaangamia, CCM inahonga wajumbe wa tume ya katiba mamilioni ili wajitibu UKIMWI, mnachakachua matokeo ya kidato cha nne, kila uvundo upo unatuletea kujadili jina la ukoo? una akili kweli. Ninaonya wenye akili zao kwenye huu uzi hawatapoteza muda kujadili upuuzi.