Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi...JPM mnayemshabikia anakuiteni wapumbavu, haha😛😛
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapopinga hoja ni vyema ukaja na fact vinginevyo utaonekana ni wale wale tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Kuna watu wanatumia akili za kuvukia Barabara 'Running away from problems is a race you will never win'
 
Namhurumia sana Magufuli. Anapelekwa puta na Lissu hadi Joseph Musukuma anapowataka wasemaji wa chama na serikali wamtetee Rais na kamwe wasimwache mpweke kama ilivyo sasa. CCM na Dereva wao wa Lori wamekabwa koo na mtu mmoja tu.
 
John Magufuli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mhe. Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli

5th President of Tanzania
Incumbent
Assumed office

5 November 2015
Vice President Samia Suluhu
Prime Minister Kassim Majaliwa
Preceded by Jakaya Kikwete
Minister of Works, Transport and Communication
In office

28 November 2010 – 5 November 2015
President Jakaya Kikwete
Preceded by Shukuru Kawambwa
Succeeded by Makame Mbarawa
In office
November 2000 – 21 December 2005
President Benjamin Mkapa
Succeeded by Basil Mramba
Minister of Livestock and Fisheries Development
In office

13 February 2008 – 6 November 2010
Preceded by Anthony Diallo
Succeeded by David Mathayo David
Minister of Lands and Human Settlements
In office

6 January 2006 – 13 February 2008
President Jakaya Kikwete
Succeeded by John Chiligati
Member of Parliament for
Biharamulo East and Chato
In office

November 1995 – July 2015
Succeeded by Kalemani Medard
Personal details
Born
29 October 1959 (age 57)
Chato, Geita, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM (1977–)
Spouse(s) Janeth Magufuli
Children
Joseph Magufuli

Jesca Magufuli
Residence Ikulu, Dar es Salaam
Alma mater University of Dar es Salaam
Profession Teacher
Nickname(s) Tinga tinga (The Bulldozer)[1]
Twitter handle MagufuliJP
Military service
Allegiance
20px-Flag_of_Tanzania.svg.png
United Rep. of Tanzania
Service/branch National Service
Years of service July 1983–June 1984
John Pombe Joseph Magufuli (born 29 October 1959) is the President of Tanzania, in office since 2015.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2006, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.[2]

Standing as the candidate of the ruling CCM, he won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015

Hebu twambieni hapo Magufuli kahusikaje kwenye huo mkataba
 
Mkuu litania ni kubwa! Bado watumishi waliofukuzwa kazi kipuuzi, bado sheli zilizovunjwa hovyoo Mwanza, nk. Hii ni laana kwa nchi badala ya baraka!

Huyu sisonje ukoo wa Burundi au Rwanda maana tz hakunaga ukoo kama sisoje
 
Bongo Celebrity

Lisu alishawafanya watu fulani kama msukule wake.
5.0 WORK EXPERIENCE:

2010 – To date: Minister for Works and Member of Parliament for Chato Constituency.

2008 – 2010 Minister for Livestock Development and Fisheries, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency (Chato Constituency).

2005 – 2008: Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
2000 – 2005: Minister for Works, and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1995 – 2000: Deputy Minister for Works and Member of Parliament for Biharamulo East Constituency.
1989 – 1995: Industrial Chemist at Nyanza Cooperative Union (Ltd.) Mwanza.
1982 – 1983: Teacher at Sengerema Secondary School, Teaching Chemistry and Mathematics.
Bongo Celebrity
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ila ukumbuke wewe na ndg zako wote mnakipa hili deni we unafikili atalipa magufuli au lisu anayekupasha kinachosababisha wewe ushindwe kutibiwa ushindwe kupata ruzuku ya pembejeo za kilimo nk ni wewe unayelipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mabavicha kweli akili vichwa wazi....sijaona hata nyumbu mmoja mwerevu ambaye angehoji sababu za kuvunjwa kwa mkataba,what if kama una madhara kushinda hata hiyo bilioni 90 mnayoipigia kelele humu kutwa kuchwa.
 
Hata zile hela zilizotumika ktk kuandaa mapendekezo ya katika mpya na zile zikizotumika ktk bunge la katiba bora zingetumika ktk kutoa huduma za Maji lakini badala Yake wamezitafuna bure hadi leo hakuna cha maana kinachoendelea lakini Mungu yupo na anaona hakika walipohusika na ule udhalimu Mungu atajua namna ya kuwashuhulikia !
Watu na midomo mikubwa mavichwa hayana akili pesa tunalizwa kila siku mabilioni yanatumika vibaya mengine kuwafadhili kina lipumba nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Halafu wananchi wamekaa kimya utafikir hakuna ufujaji wowote wa Mali ya umma uliotokea, ingekuwa Kenya SAA hiz nusu ya mawazir washajiuzulu, watanzania ni watu wa ajabu sana duniani...[emoji19] [emoji19]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry I mean ni hela nyingi sana kiasi Kwamba zingewezesha kupatikana Kwa huduma ya Maji Kwa kiasi kikubwa hapa Dar
Mbona Dawa siko!! Majuzi wamesema maji ni mengi mpaka yanapasua mabomba.
 
Back
Top Bottom