Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Nadhani huyu amevunja rekodi na kuwa binadamu wa kwanza tokea kuumbwa kwa Tanganyika na Tanzania kuzalisha hasara kubwa kiasi hicho kwa kiburi chake. Hili haliwezi kupita hivi hivi, kama sio 2021 basi majaliwa 2026 lazima tutabadili kipengele fulani katika katiba ili mtu fulani akaone kule segerea kukoje.
Kama mjanja angeanza kuboresha miundo mbinu ya Segerea au Ukonga maana yatakuja kuwa makazi yake ya kudumu. 90 bilioni ziende hivi hivi kijinga? Halafu unakashfu watu! Ngoja siku wale walioitwa wapumbavu wakawa ndio wenye kuangalia hatima yake na kupata majibu kwa nini majani ya mchicha ni mboga na sio ya bangi
Hopeless comments!! Utasubiri sana!
 
Bigot,Hata uone watanzania wanateketea kwa ufukara unaoletwa na siasa mbovu za CCM wewe bado utampigia makofi Magufuli.kwavile wewe unanufaika na utawala,huwajali kabisa wa Tanzania wa hali ya chini alimradi yako yankuendea....,shame on you

lete Historia yako yenye mshiko .....
Mtu akupe hela ya Ruzuku tena kwa taabuu hivi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahabari kuwa serikali imeshalipa $12ml kwa ajiri ya hilo deni?Nani mpiga porojo hapo ndugu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
embu nitafutieni jina la UYO aliyewafukuza hao wakandarasi bila kufata utaratibu
nasikia kuna mtu kasingiziwa anataka kuombwa msamaha[emoji107][emoji107][emoji107]
 
Magufuli ni Jipu

Historia inaonyesha Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Miundombinu mwaka 1995-2000 na Waziri kamili wa miundombinu mwaka 2000-2006 na 2010-2015, Sasa kama mkataba huoulivunjwa kwa kipindi hicho atakuwa anahusika na uvunjanji wake tofauti na hapo ni bora kukaa kimya na kutomshambulia Mh.Rais.
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Mkuu unaposema magari 3000 ya wagonjwa(ambulances) kwa Tshs. 90 billions una maana Gari 1=30 millions Tshs...Sasa ni vyema ungetuambia ni sehemu gani serikali inaweza kupata magari ya wagonjwa yenye ambayo kulingana na geography tunahitaji Land cruiser hardtop yenye 0km hii itapunguza gharama za matumizi ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Wacha hilo la 90 b kuna hili la 1.3 tirion la samaki wa magufuri make hilo la b 90 wanasema magu hakuwa waziri wa ujenzi kipindi hicho kifupi nchi hii ni ya watu wanafiki, waongo nazani ina laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia mbona haionyeshi mkataba uliingiwa lini?
Historia haionyeshi mkataba ulivunjwa lini?
Historia haionyeshi thamani ya mkataba uliovunjwa lini...
Historia haionyeshi waliovunja mkataba ni kina nani...

Historia imerukia kwenye maamuzi ya Mahakama na Rufaa
okwi BOBAN, jawabu please kuhusu hoja hapo juu, maana Habari maelezo wanasema Waziri kipindi Mkataba unavunjwa alikuwa Mh Shukuru Kawambwa
 
Historia inaonyesha Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Miundombinu mwaka 1995-2000 na Waziri kamili wa miundombinu mwaka 2000-2006 na 2010-2015, Sasa kama mkataba huoulivunjwa kwa kipindi hicho atakuwa anahusika na uvunjanji wake tofauti na hapo ni bora kukaa kimya na kutomshambulia Mh.Rais.
Hiyo bajeti ya mabombadia bunge limepitisha? CAG amekagua? PPRA ilifatwa?
Magufuli ni jipu kuu lilo kaa pabaya..likiiva tutalitumbua sisi wenyewe wananchi.
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv unazani hata vichaa huwa hawaongei na vichaa wenzao na kusifiana upumbavu wao?ww ni mmoja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Hujielewi hata,,,,

Ebu kunywa flagly kwanza upone hilo tumbo lako la kuhara. ...umekurupuka sana.....nashangaa umepata muda wa kupiga hesabu ya matumizi ya hizo fedha....kununua ambulance nk. ...hebu tupatie historia kwa kinagaubaga
1.mkataba ulisainiwa lini ,wa sh ngapi....kwa muda gani?
2.ulivunjwa mwaka gani na kwa sababu gani?
3.aliyeuvunja huo mkataba ni nani? (Hapa fafanua na taratibu za kuvunja mkataba kama ni mtu mmoja tu au baraza la mawaziri nk )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msemaji wa Serikali uchwara hutokea pale kwenye madudu tu. Magufuli acha kujificha Ikulu fanya news conference ujibu maswali chungu nzima kuhusu hii awamu ambayo imejaa uongo, ubabe, wizi, dharau zako za sheria za nchi, katiba na Bunge. Kujichotea pesa bila ruhusa ya Bunge, bomoa bomoa ambayo haina fidia na kuwaacha Watanzania wengi kwenye maisha ya dhiki za kutisha.

Ulipoomba kura ulidai unaomba kwa unyenyekevu sasa huo unyenyekevu uliisha baada ya kuingia Ikulu?

Watanzania tunasubiri kwa hamu kukusikia tumeshachoshwa na nchi inavyoenda mrama kwenye kila sekta huku wewe na baraza lako la Mawaziri mkidanganya nchi iko sawa na uchumi unakuwa wakati huo ni uwongo. Kuhusu bajeti ni uongo mtupu! Ni bajeti hewa. Kuhusu makusanyo ya kodi ni uongo mtupu! Miaka miwili sasa hakuna ajira wala nyongeza za mishahara.

Watanzania tunasubiri kuuona unyenyekevu wako mkubwa. Toka huko Ikulu uzungumze na Taifa Watanzania tumechoshwa na wewe kuliingizia Taifa letu hasara kubwa miaka nenda miaka rudi.

Makitaba yako ni noma..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom