Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Hivi inamana serikali haijawahi kufanya jambo zuri? Mbon cjawahi kusikia lisu akipongeza jambo lolote lililofanywa na serikali inamana yote ni mabaya tu?? Anatafuta kiki na hawez kuipata atadanganya wajinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi si yumbishi na matukio na si ufati upepo unapoelekea, naijili afya yangu na nchi yangu naaa kama ni hasara haya majamaa yamesababisha nyingi tu kwani kwenye makinikia si wao ndio wahusika? Na magufuli ni mnafiki tu mbona wahusika anawakikingia kifua?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Hivi inamana serikali haijawahi kufanya jambo zuri? Mbon cjawahi kusikia lisu akipongeza jambo lolote lililofanywa na serikali inamana yote ni mabaya tu?? Anatafuta kiki na hawez kuipata atadanganya wajinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mkubali lissu, lakin tokea nije humu dunian sijaona jema ambalo sirikali imefanya kila wanalofanya likaonekana jema nyuna yake kuna midudu kibao! Air Tanzania waliiua wao, wamegawana ndege nzuri saa hivi wanatudanganya na vipangaboi vyao! Pumbavu kabisa hawa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Musihofu wawakilishi wetu wako tayari kuweka mambo sawa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
e0a29cca74e07906ec112d8f5b8f158c.jpg

mzee mzima haishiwi maneno
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Bahati yake (mkurupukaji) mkataba ulivunjwa miaka ya 2009 na serikali iliyovunja mkataba na kukaidi kulipa deni ni ile iliyokuwepo kabla yake.

mbona huweleki unataka tulipe au tuache, mfano wa matreka na ambulance ina maana hutaki, wakati huo huo unaonekana hutaki pia ndege ipigwe mnada, mboma ukizabinazabina mbele huko nyuma huko, funguka
 
Kusema ukweli hasala tusha pata aachane na kupiga magoti shart tuwambie tulip wapa kazi watupatie ndege yetu nasio kukabizi Kwa mdeni wetu kama kuna mtu anadaiwa ahusike direct waache janjajanja

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sio historia mkuu, hiyo ni simulizi.

Ni ukweli ulio wazi kuwa tatizo ni tundu lisu. Anasaidiana na baadhi ya watendaji wa serikali kuvujisha siri za serikali na yeye kuzitumia kuuza nchi.

Watu kama hawa hata Marekan wapo lakin adhabu zao huwa zinajulikana dunian kote. Na yeye pia asubiri tu adhabu yake.

Kuna uzi apa unaeleza kuwa bado anaendelea kufanya mazungumzo na ujumbe wa barick kuwashawishi waachane na mazungumzo wafungue kesi na yy atawasaidia. Sasa jiulize atawasaidiaje kama sio kutumia government officials wasio waaminifu na ambao tayari washajulikana.

Ndio maana maamuzi ya magu kuondoa serikali watu wote wenye akili za kipuuzi kama za tundu lisu ni sahihi. Tena sahihi zaid.

Kila nchi inao watu wa aina hiyo. Na nchi ikitaka iwe salama na iweze kufanikiwa lazima I deal na watu wa aina hiyo. Iwe na mbinu za Ku deal na watu wa aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Lisu ni nini katika kuzalisha deni hili? Au Lisu kahusikaje katika kuzalisha deni hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.

Historia yako imebase kwenye hotuba ya Lissu.....
Umejiuliza sababu za mkataba kuvunjwa?
Sababu za kushindwa keshi?
Sababu za Serikali kuona haikua sahihi kulipa?
Kwanini Ndege Bombardier nyingine zilikuja bila mushkeli hii ya tatu imezuiliwa tena mwaka huu?
Tangu 2010 hadi sasa ni biashara ya ndege pekee iliyofanyika kati ya tz na canada?
ushajua watz tunapenda big numbers basi hapo ndo ukafanya research..... au inawezekana pia uliskia mtu kasema.
 
Mtajua atakapogeuka Cris Musando.
Mzalishe mwingine, si unaona Kenya!
KimyaKimya tu, wanaokutumia wanabaki salama salimni na mkeo wanamuhudumia vizuri tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msemaji wa Serikali uchwara hutokea pale kwenye madudu tu. Magufuli acha kujificha Ikulu fanya news conference ujibu maswali chungu nzima kuhusu hii awamu ambayo imejaa uongo, ubabe, wizi, dharau zako za sheria za nchi, katiba na Bunge. Kujichotea pesa bila ruhusa ya Bunge, bomoa bomoa ambayo haina fidia na kuwaacha Watanzania wengi kwenye maisha ya dhiki za kutisha.

Ulipoomba kura ulidai unaomba kwa unyenyekevu sasa huo unyenyekevu uliisha baada ya kuingia Ikulu?

Watanzania tunasubiri kwa hamu kukusikia tumeshachoshwa na nchi inavyoenda mrama kwenye kila sekta huku wewe na baraza lako la Mawaziri mkidanganya nchi iko sawa na uchumi unakuwa wakati huo ni uwongo. Kuhusu bajeti ni uongo mtupu! Ni bajeti hewa. Kuhusu makusanyo ya kodi ni uongo mtupu! Miaka miwili sasa hakuna ajira wala nyongeza za mishahara.

Watanzania tunasubiri kuuona unyenyekevu wako mkubwa. Toka huko Ikulu uzungumze na Taifa Watanzania tumechoshwa na wewe kuliingizia Taifa letu hasara kubwa miaka nenda miaka rudi.

Alisema anamuomba Mungu amsaidie labda Mungu hajasikia wakati wa Mungu kutenda bado . Tusubiri bwana akatende. Amina

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Mambo yakuchochea tu wananchi wapinzani hawana uzalendo wowote. Nsckitika sana ctakaa nimpigie kura mpinzan kwa mtszamo ninaouona hawana ushirikiano katika kujenga nchi

Anayekutia hasara ya billioni 87 ndiye mwenye ushirikiano kwenye kujenga nchi.
 
Hasara unaijua wewe maana. We ni mpinzani najua lazima uongee ivyo ctackia kamwe. Nachojua raisi anafanya vizur mna njama yakumkwamisha
 
Back
Top Bottom