Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

Mambo yakuchochea tu wananchi wapinzani hawana uzalendo wowote. Nsckitika sana ctakaa nimpigie kura mpinzan kwa mtszamo ninaouona hawana ushirikiano katika kujenga nchi
 
Viongozi wa Tz wana IQ ndogo kabisa kuliko bundi. Shida ni uelewa. Unakuta waziri hana elimu na hata aliyonayo ni ya kuunga unga. Huku akijua hana uwezo wowote na kwa kiburi anakataa kutafuta washauri katika masuala ya kiutaalm, anakurupuka tu na kuvunja mikataba. Mwisho wa siku nchi inapata hasara kubwa. Deni la taifa linazidi, nchi inakuwa maskini, halafu mamtu ya fisiem yanashangilia.. kupoteza mabilioni katika kulipa fidia kizembe hivi ni uhujumu uchumi. Waziri au kondoo mwingine atayeisababishia nchi hasara anatakiwa ashtakiwe chini ya sheria ya uhujumu uchumi. Labda hii sheria inawahusu kina Manji tu? Mahospitali yamechoka.. mashule hoi, vyuo hoi.. halafu nchi inapata hasara.. yaani hapo ndo naamini nchi hii tuko mazw/azwa..
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
MKUU UBARIKIWE SANA KWA KUTUMIA AKILI KUCHAKATA MAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha na inashangaza sana jinsi CCM wanavyotapanya kodi za watanzania bila huruma halafu yanajitokeza majitu mazezeta kama msukuma yanakuja kupayuka kama makasuku kumtetea mhalifu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu apoo hiyo historia hainaa mashiko ya ainaa yoyotee tupige mdomo tuu anae mpinga Magufuri ni kibaraka wa wakoloni mamboleo ndiyo anayo yaleta lissu sasa ivii tafuta Mada nyingine haunaa takwimu za unacho semaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu tuambie wewe unaejua tujue toa hoja za msingi ,toa mada ako tuone

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Ukifuatilia muhtasari wa hii hadithi ya Bilioni 90 (87) unachukia sana....

Tulipovunja mkataba wa kandarasi yao ya ujenzi wa barabara ya Wazo Hill hadi Bagamoyo (kibabe), Stirling Civil Engineering Ltd, wakatupeleka mahakamani.>>>> (TUKASEMA HATUTISHWI)

Tarehe 10 Desemba, 2009 - Mahakama ya Usuluhishi ya Paris ikaamuru tuwalipe fidia ya hasara tuliyowasababishia kwa kiburi chetu, ya dola za Marekani milioni 25 (Takribani Shilingi Bilioni 40 wakati huo) >>>> TUKAGOMA!

Serikali yetu ikakata Rufaa, tarehe 10 Juni 2010 hukumu ya rufaa ikasomwa, tukapigwa chini. Tukaamuriwa kuilipa kampuni hiyo fedha hizo vinginevyo kila mwaka mmoja utakaohesabiwa tutalipa na riba ya asilimia 8. >>>>TUKADHARAU!

Kutokana na ucheleweshaji wa malipo, deni hilo limeongezeka hadi dola za Marekani milioni 38.7 kufikia tarehe 30 Juni, 2017. Hii ni sawa na takribani shilingi Bilioni 90 za Tanzania. >>>> TUKAENDELEA KUGOMA!

Mwezi Julai 2017, kampuni inayotudai imekamata ndege yetu, 'Bombadier Dash Q400' - sharti la kurudishiwa ndege yetu (isipigwe mnada) ni sisi kulipa hizo shilingi bilioni 90. >>>> NDIYO TUMEKUMBUKA KUWAPIGIA MAGOTI!

[Tayari Waziri Mahiga amewaomba Stirling Construction tuwalipe Bilioni 30 (kama advance payment) waachie ndege yetu wakati mazungumzo mengine ya namna ya kumalizia deni lililobaki yakiendelea. Halafu kuna watu bila aibu wanasema Lissu ndiye sababu ya ndege yetu kukamatwa. Hivi Lissu anahusikaje hapa?]

Ninajiuliza hivi akili zetu tumemgawia mwekezaji gani?

Yani tunakwenda kuwalipa watu Bilioni 90, za bure [kwa uzembe wa mtu mmoja aliyevunja mkataba kwa kukurupuka.!]

Bilioni 90 ni sawa na Magari 3,000 ya Wagonjwa (Ambulances) na yangeliweza kugawiwa kila kata ya Tanzania.

Bilioni 90 ni sawa na matrekta 1,500 ya kisasa na tungeliweza kuyagawa kwa nusu ya kata za Tanzania na kwa miaka mitano idadi ya Makumi Elfu ya wakulima wangefaidika.

Bilioni 90 ni pesa nyingi sana, mno! Lakini zinakwenda kupotea hivi hivi, na wanaoohusika na kiburi kilichopelekea hasara hii siyo tu kwamba wamekataa kujiuzulu au kuomba radhi! Bali wanatumia nguvu kubwa zaidi kutaka umma uamini kuwa wao ni "watakatifu" na "hawafanyi makosa makubwa kama haya."

Tungekuwa na watu wenye utu wangelitoka hadharani, wangekiri makosa yao, wakajiuzulu na kuomba wasishtakiwe. Kinyume chake, waliotutia hasara hii ndo wako mstari wa mbele kuwatisha waliofichua KASHFA hii.
Tune uliyotumia hapa kwanza kabisa inakutambulisha kama nyumbu usiyeona jema la serikali

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom