LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Hapa Mi cjaona haja ya kusema kikombe cha Babu wa Loliondo ilikuwa na limit ya kutokufa mtu aliyekunywa!
Bila shaka hata Babu Ambikile Mwasapile atakuwepo hapo kwenye mazishi ya Thomas Laizer!
Lala kwa Amani yake Bwana wetu YESU KIRSTO na Bwana atakufufua siku ya mwisho!