Huyu alikuwa anajua Siku aliyoipanga Mungu ya Kuabudu na kupumzika ni siku ya Sabato na si jumapili siku ya Mungu jua Mungu wa sabato alikataza watu wasiwe na miungu mingine ila Yeye aliye Hai Mungu wa Sabato.
Hawa Maaskofu wapotoshaji wa Maandiko ya Mungu Aliye Hai Mungu wa Ibrahim Yakobo na Isaka hapendezwi na watu wanaopotosha matakwa Yake Ikumbukeni siku ya Sabato Muitakase siku hiyo msifanye kazi yeyote siku hiyo ni ya Bwana Mungu wenu ni siku iliyotakswa Hawa Maaskofu wamekuwa wakipotosha watu wamuabudu Mungu Jua wa Sunday huyo Mungu wao atawakaribisha huko ndani ya Jua na hakika watachomeka wao na wafuasi wao...
Nyie Wafuasi Someni Biblia mkae upande sawa anaotaka Mungu anzeni na amri kuu katika kitabu cha Kutoka 20...
duu,sasa kama ndo hivyo yesu akija kuchukua watu wake itakuwaje?c kuna watakuwa hawajakufa watanyakuliwa tu
Kitika kitabu cha Zaburi kuna mahali neno linasema "mpumbavu amesema moyoni mwake kuwa Hakuna Mungu'Wahindu na ma singasinga wanaabudu kwa njia zao wanazoona zinafaa,sijawahi kusikia kwenye mhadhara wala mkutano wa injili wakiwakemea ma budha wanao abudu kwenye mawe na masanamu makuubwa kabisa!! Ulizeni hao wachina wanaosifiwa kwa akili huwa wanatumia dawa za aina gani!! Hakuna cha 7th day wala kkkt,islam wala catholic!!hakuna dini iliyoweza kumkomboa mwafrika so far,tuyaenzi yale ya msingi yaliyofanywa na Marehemu baba askofu T laizer,habari za kusali juma ngapi,kunywa kikombe is just too personal to address,hivi MiMi Niliyekunywa hiyo dawa na wewe mvuta sigara nani yupo kwenye tangible deathrow? Naamini kuhusu kifo ila si kwa upande ule kidole cha binadamu kilipoelekezwa,Rip baba askofu.
Tarehe na mwezi kama huu ndio ambao Askofu Laizer aliwatangazia Walimwengu kuwa Kikombe Cha Babu ni Ufunuo wa Kiroho. Lakini hakufafanua roho yupi kiasi kwamba umati wa Watanzania ulipotoshwa na kuifanya Tanzania kushamili kwa Ushirikina barani AfrikaKifo cha Askofu Dr.Thomas Laizer kimetokea siku ambayo tume ya maaskofu sita ilikuwa imeanza kazi rasmi ya kuchunguza mgogoro uliopo usharika wa Arusha mjini kuhusiana na waumini kulazimishwa kutoa shilingi elfu 20 kulipia deni la mkopo wa Benki uliotumika kujenga hotel ya kanisa ya Corridor Springs.Hoteli hiyo ilijengwa kwa ubunifu,usimamiz na maelekezo ya Askofu Laizer.Marejesho ya mkopo huo hayajulikani utaratibu wake ulivyokwenda,Benki nayo imetishia kupiga mnada maeneo ya maegesho ya hoteli na kanisa.Kati ya watu muhimu waliopaswa kuhojiwa kuhusu sakata la Corridor Springs ni Askofu Laizer.Je,tume hii ya maaskofu itaendelea na kazi yake?Na je,nini mustakabali wa waumin
https://www.jamiiforums.com/newreply.php
Unamajibu kama ya kikwete ya Taarabu sie hatubishani na watu tunakufunulia Biblia tu ubishane nayo kama mtu akikosea naye anafunuliwa tu maandiko anajirekebisha ila nyie mnaoenda tofauti na Biblia mjue Mungu wenu ni jua mtaunguzwa pamoja nae kwenye moto wa milele.
Kwani ninyi mnao abudu siku ya saba hamfi? Kwani kwenu hakuna wazinzi,wachawi,mafisadi,wezi,waasherati na kila aina ya uchafu? Mbona basi hiyo siku haikuwasaidia kuuepuka uovu? Nitajie mtu mmoja tu unaemfahamu ambae hakuwahi kukosea ndani ya hao wasabato ili tujue kuwa sabato ndio mhuri wa Mungu. Kama hakuna basi kuna mmoja tu aliye pumziko la wakosaji wote nae ni Yesu Kkristo tia nanga kwake na weka tumaini lako kwake na hakika itakuwa hata dhambi zako zijapokuwa nyekundu kama bendera atakusafisha nawe utakuwa mweupe kama theluji.
.
Yaani wewe ndie umefumbwa macho na Shetani kwa kudhania kule China Dini au Neno la Mungu halijafika jaribu kufuatilia vizuri wao wapo mbali sana dini walishaipokea miaka mingi kuliko hapa Africa Pole weee jitahidi kusoma Biblia ikuweke huru na mwovu Shetani Yusu anawapenda wote na alikuja kwa ajili yenu haswa waovu na ndugu zake ni wale walisikizao mafundisho yake...Wahindu na ma singasinga wanaabudu kwa njia zao wanazoona zinafaa,sijawahi kusikia kwenye mhadhara wala mkutano wa injili wakiwakemea ma budha wanao abudu kwenye mawe na masanamu makuubwa kabisa!! Ulizeni hao wachina wanaosifiwa kwa akili huwa wanatumia dawa za aina gani!! Hakuna cha 7th day wala kkkt,islam wala catholic!!hakuna dini iliyoweza kumkomboa mwafrika so far,tuyaenzi yale ya msingi yaliyofanywa na Marehemu baba askofu T laizer,habari za kusali juma ngapi,kunywa kikombe is just too personal to address,hivi MiMi Niliyekunywa hiyo dawa na wewe mvuta sigara nani yupo kwenye tangible deathrow? Naamini kuhusu kifo ila si kwa upande ule kidole cha binadamu kilipoelekezwa,Rip baba askofu.
R.I.P baba Askofu Thomas Laizer
Alizaliwa Machi 10,1945 katika Kijiji Cha Ketumbeine Arumeru.
Alisoma Shule ya Msingi Long'indo na Kuhitimu darasa la Saba 1965.
Alijiunga na Shule ya Sekondary Arusha.
Baada ya Kuhitimu masomo ya Sekondary alijiunga na Masomo ya Theology Chuo Cha Makurumila na kuhitimu 1972.
Aliendelea na Masomo ya juu ktk Chuo Kikuu cha Warburg Marekani na kuhiyimu 1984.
January 4,1987 alisimikwa rasimi kuwa Askofu wa dayosisi ya Mkoa Arusha.
UGONJWA NA MATIBABU.
Miaka kumi iliyopita alianza kuhisi kuwa anatatizo la tezi upande wa kushoto na kufanyiwa matibabu ktk hospili mbalimbali .
Mwaka 2010 alizidiwa na kupelekwa SELIAN HOSPITAL ARUSHA NA BAADAYE KUKIMBIZWA NAIROBI KENYA ambapo alitibiwa na kushauriwa aende India kwa matibabu Zaidi.
Kabla ya kupelekwa India alikwenda Kwa Babu (Mch Ambilikile Mwasapila) Loliondo akiwa na Mhe Edward Lowasa na wote wakapata Kikombe na akashuhudia kuwa amepona!!!!!!!!!!!!!!!.Ushuhuda huu uliwavuta Mawaziri wengi sana akiwemo Steven Wasisra, Willium Lukuvi, Mangufuri....
Septemba 2012 alipelekwa India na kupatiwa matibabu ambapo walibaini kuwa tezi limesababisha saratani na alirejea nchini na kupelekwa serian Arusha ambapo ametibiwa hapo hadi kifo Chake!!!
Nimeleta hii taarifa baada ya kuona kuna watu wanaposha kwa kusema kuwa ugonjwa wa Askofu Laizer umewekwa Kampuni wakati unajulikana na upo katika orodha ya Magonjwa sugu yaliyotangazwa kupatiwa tiba na Kikombe Cha Babu!!!
Monday, April 04, 2011
MH NIMROD MKONO NA WAZIRI WASIRA WANYWA KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO
Unamajibu kama ya kikwete ya Taarabu sie hatubishani na watu tunakufunulia Biblia tu ubishane nayo kama mtu akikosea naye anafunuliwa tu maandiko anajirekebisha ila nyie mnaoenda tofauti na Biblia mjue Mungu wenu ni jua mtaunguzwa pamoja nae kwenye moto wa milele
Mnamlilia Mtu Ambaye alikuwa akiwapotosha watu makanisani na mitaani kuwa waache kuabudu siku ambayo Mungu kaiweka aabudiwe siku ya Sabato na alikuwa akisisitiza siku ya Jumapili siku ya Mungu Jua ndio watu wamuabudu huyo Mungu Jua... Hakika Mtu Huyu kwake ni Motoni Wacheni kumlilia jililieni Nyie Mliopotoshwa....Msome Biblia Muwe Huru na Muovu Shetani Ambaye hutumia mbinu zake kuwageuza watu wamsahau Mungu aliye Hai Mungu wa Ibrahim Yakobo na Isaka Ni Mungu Wetu tumuabudu.....
Kila nafsi lazima ionje mauti.R.I.P ASK LAIzER
Sabato inasema Mtu akizini apigwe hadi kifo, Wasabato hawafuati hii amri lakini wanajiita Wasabato!!!!!!!!Mkuu,uzi huu si maalum kutangaza imani ya ki-Sabato!!! Lakini,nina neno juu yako;kwa habari ya kuadhimisha siku kama yanenavyo maandiko katika Biblia[waraka wa WARUMI 14:1-6]=>"........(4)Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine ? (5) Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku;na mwingine aona siku zote kuwa sawasawa.Kila mtu na athibitike katika akili yake mwenyewe. (6)Yeye aadhimishaye siku,huiadhimisha kwa BWANA;.............
KSabato inasema Mtu akizini apigwe hadi kifo, Wasabato hawafuati hii amri lakini wanajiita Wasabato!!!!!!!!
K
Asante sana Bishop.Wasabato wengi ni wanafiki;kwa kuwa hawashiki sheria za Sabato ambazo ni zaidi ya 600! Mfano,msabato wa kweli kama masalia harusiwi kwenda kuokota kuni wala kuwasha moto nyumbani kwake siku ya sabato;kwani akifanya hivyo adhabu yake kupigwa Mawe mpaka afe na wasabato wenzake ![SOMA BIBLIA KUTOKA 35:3; HESABU 15:32-36]