hisia zako!!!!!

Nina hakika Thrade hii mimi hainihusu !
Niendelee tu kusoma mitiririsho!
Afu Mamsap hapo kwenye kufuliwa kufuli , nimepa'bold , hebu pashereheshe! Sijapaelewa kiufasaha !

hujaelewa nini thatha.. we subiri upewe matokeo ya mpambano.!!!
 
Na mm naruhusiwa kuguess??!
@st paka mweusi...u almost nailed it..gv t another try with very minor corrections here n there....
 
Unasoma chuo hapa jijini,unaishi cnza,maji ya kunde unapenda kuckiliza taarabu mtu wa vigodoro, mmmmhhhhh sio mnene sana umejazia nyuma unarizisha mtu mwenye hasira sana,...una vigimbi hata ukiwa mwana riadha usain bolt hakukamati...............bhaaaaaaassssssss

Its ney once again
 
Tena my young muite huyo Mtakatifu Paka tuone huo u-Shehe Yahaya wake anaotaka kuniletea

Alafu huyu Paka sijui wa njano! Sijui wa blue , sisi wanaume wa chtcht mida hii tuko vibaruani , yeye yuko hom anachekacheka na wake zetu! Hata kama mpakarangi wa kucha au muuza udi na urembo mwambieni wenye nyumba hatutaki biashara zake.
Tunahitaji Paka mweupe sasa!
 
Ye muache tu,
na ukimchekea Jgm atakubebea mkeo BN.
Hebu mpe mkwara mmoja tu ili aipatepate fresh ya shamba.
 
Alafu huyu Paka sijui wa njano! Sijui wa blue , sisi wanaume wa chtcht mida hii tuko vibaruani , yeye yuko hom anachekacheka na wake zetu! Hata kama mpakarangi wa kucha au muuza udi na urembo mwambieni wenye nyumba hatutaki biashara zake.
Tunahitaji Paka mweupe sasa!

Mh hamtaki biashara zangu..??Mbona wake zenu wanazitaka..??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom