Hisia za mapenzi zimepotea

Ukiwamaliza wanawake wote wazuri na wenye shape tofauti huku ukijipima kipenyo mwenyewe kwenye puchu, unakuwa tena huna hamu na demu yoyote.......
Na hasa ukikutana na uhalisia huku ukianza kuwalinganisha na listi yako uliyopitia inakufanya uone kasoro nyingi na kukutoa hamu kabisa.......
 
ushazeeka mzee baba, umri umesonga sana,
hiyo stage haikwepeki kwenye makuzi ya mwanadamu.

hapo vichocheo vya mwili wako vimebalance vizuri sana, hakuna kilichozidi kingine, na hapo ndipo wengi wanaoipokea hali hiyo in positive way, huinjoy sana life wakiwa hawana tamaa kabisa wala stress za mapenzi 🐒
 
Mwambie admin akuadd kwenye group naona umeshaleft
 
Ufanye kipimo cha hormone..sio kawaida kwa MWANAUME RIJALI KUWA KAMA WEWE.

Msongo wa mawazo
Background Yako
Kuumizwa na mpenzi/ wapenzi
Ukata/ lack of money 💰
Experience ya magonjwa/ ugonjwa
Umri
Ni baadhii ya sababu kijanaa
 
Ke or Me?

Kama ni "Me" umejihami tu,ila intro ni vyaputa since day one!
 
Inatokea sana hiyo, kuzongwa na mambo mengi hasa ya kiuchumi, uchumi wako kiujumla, system ya wazazi/walezi wako maisha gani? Wameishi au wamekulea

Tabia yako kiujumla, sio wa kujisogeza sehemu unaweza pata ngono kirahisi, mahesabu makubwa kichwani nikifanya hivi itakuwa hivi,

Hali ya kawaida uzuri kama upo kama binaadamu wa kawaida ni vizuri na unatambua jinsi ulivyo, ukiwa teari utafute mwenza, hizo ni hali za kawaida binaadamu hatupo.. sawa
 
Mapenzi ni hisia tu. Ukizipotezea zinapotea.
 
Kwanza tujue kama una mpenzi/mke, una umri gani? Mambo ni mengi, ogopa sana kukosa hisia za kimapenzi
 
suala la uchumi hupunguza sana hisia za kimapenzi, maana ukijifanya una mzuka wa kimapenzi huku huna hela utaibika, hutapewa shoo ya bure, siku hizi mademu hawaangalii uhandsamboi, ni pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…