Msosi je?Hello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Uwe Una mtag kwenye nyuzi zako kwa msaada zaidi
Imagine tena amewahi kuonjaKwenye punyeto hapo ni uongo
Nishati unayokula unakwenda wapi kama haigawii hata kidogo kitengo cha hormone?
Watu humu kujifekisha hawajamboImagine tena amewahi kuonja
Naogopa mimi😏
Anatuletea chaiWatu humu kujifekisha hawajambo
Bora uzikose tu maana haziongezi uchumi hata ukiwa nazo nyingiHello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Yh hisia zinatabia ya kuchangeHello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
😅😅Em jaribu kushika nyaya za umeme labla hisia zitarudi tena