Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

46.-(1) Wakati wote Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, itakuwa ni marufuku kumshitaki au kuendesha mashataka ya aina yoyote juu yake mahakamani kwa ajili ya kosa lolote la jinai.

(2) Wakati wote Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, haitaruhusiwa kufungua mahakamani shauri kuhusu jambo lolote alilolitenda au alilokosa kulitenda yeye binafsi kama raia wa kawaida ama kabla au baada ya kushika madaraka ya Rais, ila tu kama angalau siku thelathini kabla ya shauri kufunguliwa mahakamani, Rais atapewa au ametumiwa kwamba taarifa ya madai kwa maandishi kwa kufuata utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge, na taarifa hiyo ikiwa inatoa maelezo kuhusu chanzo cha shauri hilo, kiini cha madai yenyewe, jina lake na anwani ya mahali anapoishi huyo mdai na jambo hasa analodai

Swali langu ni kwamba ni kwa nini mnasema raisi wa JMTZ kavunja Sheria za JMTZ?
 
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Kuna sheria hapa Tanzania inayoruhusu raisi kushtakiwa?
 
Iwapo rais ana kinga ya kuwa sued baada ya muda wa urais wake, it is logic also cannot be sued before. Rais ndiyo mteuzi wa majaji, do you think who will solve any suit in court against the president? Acha masihara bwana...
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
 
Maana yake ni kwamba hashitakiki siyo?
Hiyo ndiyo maana yake ila kumbuka kabla ya kuwa raisi wa JMTZ alaipa kuwa atafanya kazi yake ya uraisi kwa kufuata muongozo wa katiba na sheria za Tanzania.So anapoenda kinyume na hiyo katiba inabidi akumbushwe wala haihitajiki kumshatiki.
 
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Katiba hairuhusu kumshtaki Raisi.
 
Duuuu! What a great sinker!
 
Back
Top Bottom