Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
- Thread starter
- #21
Kuvunja sheria na kuwepo sheria ya kumshtaki ni vitu viwili tofauti. Watu wanapotaka mabadiliko ya katiba hiyo ni moja ya sababu, tatizo ccm haitaki mabadiliko, wananchi wafanye nini?
Hapana siyo vitu tofauti, mtu yoyote anayevunja Sheria ina maana kuna Sheria iliyo juu yake na ndiyo maana kaivunja sasa kama hakuna Sheria ya kumshitaki iweje useme kavunja Sheria? Logic iko wapi hapo?

