Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

Hisabati iwe lazima kwa Wanasheria!

Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Reasoning!? From maths! No that's a joke. Siwaungi mkono hao unaowazungumzia ila nijuavyo wanasheria ndio mabingwa wa reasoning.

Soma hukumu na arguments zao. Tazama pia jinsi kila MTU anavyowategemea hawa jamaa kwa kumsaada wa reasoning na hoja. What do you reason when there are numbers and formulas that are not circumstantial?
 
Reasoning!? From maths! No that's a joke. Siwaungi mkono hao unaowazungumzia ila nijuavyo wanasheria ndio mangwa wa reasoning.

Soma hukumu na arguments zao. Tazama pia jinsi kila MTU anavyowategemea hawa jamaa kwa kumsaada wa reasoning na hoja. What do you reason when there are numbers and formulas that are not circumstantial?

Basi hao Wanasheria unaowaongelea siyo hawa akina Tundu lisu hawa logic ni 0!
 
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Kinga ya kutoshtakiwa kwa rais haina maana kuwa yupo juu ya sheria katiba aloapa kuilinda huku ameshika bible tayari inamuweka chini ya sheria kama we ni mtu wa logic na reasoning ungekuwa unaelewa hiyo katiba ni sheria mama.

Njia pekee ya kumwadhibu rais anapovunja katiba au kutenda jinai ni bunge kupiga kura ya kutokua na imani nae na kama rais mwingine akiingia madarakani akiruhusu katiba huru kinga ya rais inaeza kuondolewa na wataburuzwa mahakamani hawa marais.
 
Kama yuko chini ya Sheria kwa nini hamumshitaki?
 
Sababu katiba iliopo imemuwekew kinga ya kutoshtakiwa na wabunge wengi wa chama X ni vilaza wachumia mitumbo hawaezi thubutu kupiga kura kutokua na imani na rais sababu serikali itavunjwa na watakosa ugali na hawajui nani ataingia tena
 
Nafikiri kama kuna kitu Wanasheria wanakosa ni logic ya kawaida na hapa naongelea Wanasheria wa chadema wanaongozwa na Tundu lisu hivyo sifahamu kama wanawawakilisha Wanasheria wote TZ!
Ndiyo maana nashauri pia wafundishwe somo la Hisabati ambalo litawasadia kureason zaidi klk kukariri!

Nitatoa mfano wa akina Tundu lisu & Co. unaonyesha kwamba wamekosa logic!
Wanasema Raisi wa JMTZ kavunja Sheria/Katiba ya JMTZ, sasa kama hilo ni kweli ni kwanini hawamshtaki Mahakamani kwa hilo kosa?
Dunia nzima mtu akivunja Sheria/Katiba hushitakiwa sasa kwa nini hawamshitaki Raisi wa JMTZ kwa hilo kosa?

Wanasema hakuna aliye juu ya Sheria JMTZ sasa ni kwa nini wasimshitaki Raisi wetu kama yuko chini ya Sheria kama wanavyodai
Nasikia tetesi kuwa mnalipwa mki-post chochote JF, lakini Kama Ni kweli basi nadhani mnamuibia bosi wenu, kushinda kwako mitandaoni kila siku hujajua hata kwa bahati mbaya kinga ya rais kutoshtakiwa mahakamani kwa kosa alilofanya akiwa madarakani?, halafu eti unamkosoa Tundu Lissu?, hii Ni aibu kubwa Na umedharirisha wote waliokuamini kwenye kitengo chenu cha uenezi/umbea. Kuanzia leo nitakuita "ZERO BRAIN!", Kama ni ban basi na iwe Tu!, Kha!.
 
wasome Basic Mathematics,Additional Applied Mathematics na Pure Mathematics...Wanasheria wangekua Nondo sana Topic ndogo ya Logic tuu inawasumbua katika sheria zao ya true na False ukiwachangania na Mathematical induction si ingekua balaa...
 
Mnaobishana na hii kiazi inayoitwa Babra Rose..., mna moyo sana ... !
 
Kuvunja sheria na kuwepo sheria ya kumshtaki ni vitu viwili tofauti. Watu wanapotaka mabadiliko ya katiba hiyo ni moja ya sababu, tatizo ccm haitaki mabadiliko, wananchi wafanye nini?
Nimemuelewa mtoa post,kama mtu hawezi kushitakiwa utasemaje kavunja sheria?
 
Mtoa mada na wewe mbona hujatumia logic unajua kabisa watumishi wa mahakama wanachaguliwa na mkuu logically case itakua fair!????
 
Nasikia tetesi kuwa mnalipwa mki-post chochote JF, lakini Kama Ni kweli basi nadhani mnamuibia bosi wenu, kushinda kwako mitandaoni kila siku hujajua hata kwa bahati mbaya kinga ya rais kutoshtakiwa mahakamani kwa kosa alilofanya akiwa madarakani?, halafu eti unamkosoa Tundu Lissu?, hii Ni aibu kubwa Na umedharirisha wote waliokuamini kwenye kitengo chenu cha uenezi/umbea. Kuanzia leo nitakuita "ZERO BRAIN!", Kama ni ban basi na iwe Tu!, Kha!.

Kama Raisi kavunja Sheria kama mnavyodai kwa nini hamumshtaki?
 
Sababu katiba iliopo imemuwekew kinga ya kutoshtakiwa na wabunge wengi wa chama X ni ****** wachumia mitumbo hawaezi thubutu kupiga kura kutokua na imani na rais sababu serikali itavunjwa na watakosa ugali na hawajui nani ataingia tena

Kwa hiyo maana yake ni kwamba hashitakiki kwa Sheria ya JMTZ au kwa maneno mengine hakuna Sheria ya kumshitaki Raisi wa JMTZ, Je mi sawa nikisema hivyo kulingana na maelezo yako?
 
Back
Top Bottom