Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,680
- 140,322
mkombozi wa hiphop bongo sasa hivi nikufanya collabo na wasanii wa radha tofauti mfano angalia collabo ya psquire na fally ipupa.
Unataka kujuwa siri ya mafanikio? tega sikio.
kwanza hip hop imealibiwa sana na usela mavi na hata wewe ni shahidi show za hiphop nyingi watu wanataka kujionesha wao ndio wamedata.
wanawake kiasili hasa wabongo hawapendi vitu vigumu wao wanapenda vitu vyepesi na vya kipuuzipuuzi.
ona shigongo alivyotajirika wateja wake ni wanawake,ona bongo movie wateja ni wanawake, hawa wanawake zetu wasuguwa visigino hata uje na movie ya Hollywood yenye Oscar award wala hana time nayo.
kuna mapinduzi makubwa yanahitajika kwenye hiphop na si kung'ang'ania tu hard call, harakati bila akili ni ujinga mtupu.
mkombozi wa hiphop bongo sasa hivi nikufanya collabo na wasanii wa radha tofauti mfano angalia collabo ya psquire na fally ipupa.
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?Hatuna shida nao waache waende kwa wakata vyuuno wao!
ona shigongo alivyotajirika wateja wake ni wanawake,ona bongo movie wateja ni wanawake, hawa wanawake zetu wasuguwa visigino hata uje na movie ya Hollywood yenye Oscar award wala hana time nayo.
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
Kuna badhi ya ngoma huwa napenda kusikiliza ila sio mpenzi kihivo wa Hip hop
hapo nilipokuquote simpendagi Nay wa mitego ila ule wimbo alioimba na Diamond naupenda sana
kama ingekuwa ngoma yake sidhani ka nimgeipenda sana
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
hapa ngumu tamaduni music ndo nyumba ya hiphop kuna nikki mbishi one songa ostadh nash juma na mistari akina dada msubirini plutnum huku hatuwataki
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
huo n wimbo wa ney wa mitego,na huyo diamond unaemkubali kashirikishwa tu,japo naye anafanya kaz poa
Tusiwazire,dunia hii imejaa challenges,kina Diamond wanawaharibu watoto,wanawanyaa wakose fikra ngumu,hiphop ni mkombozi wa fikra.Ni kama Dr.Slaa akisema leo "mtajijua wenyewe",unadhani itakuweje
Kivipi hip hop mkombozi wa fikra?
Nipe mfano kwa hapa TZ walivyokomboa fikra.