Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,441
Mashabiki wa Dre ni wanajifanya hawajui (au ni kweli kwamba hawajui) kwamba pale Aftermath records kuna producers kibao walifanya na wanafanya kazi nyuma ya production za Dre na hawapewi credits zote zinaenda kwa jamaa... why?...kuna jamaa anaitwa Storch yeye alikua Aftermath anapiga piano lakin zikitoka hits credits zote kwa Dre!! Kuna vipaji kibao tuu nyuma ya Dre, watu kama akin Mel mann ila hawa mashabiki wa Dre badala ya kuleta hoja wanaleta kejeli eti 'umekula maharage ya wapi' Mara uache kula chakula kilichochacha unaangalia comments zao unaamua kutemana nao tuu9th wonder,Appolo Brown.Dre kuwa na team ya watu nyuma yake wanaomsaidia katika production hii unaichukuliaje??
Dre is a good producer but sio kwa kiasi hicho mnachotaka aonekane