Hip Hop G.O.A.T

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
1,082
Points
2,000

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
1,082 2,000
Nani hapa anamfahamu Freddie Fox a.k.a Bumby Knuckles?? tafuteni nyimbo zake Who Knows Why na MCs Comes & MC's Go halafu mlete mrejesho hapa! Tatizo watu mnadeal sana na main stream artists ambao wanapata back-up kubwa sana ya media bila kuzingatia uwezo wao halisi.
Ni kweli ila wengi wamekomaa na akina 2pac na biggie wakati kuna miamba inajua kurap kweli.
 

Forum statistics

Threads 1,357,735
Members 519,083
Posts 33,152,309
Top