Hip Hop G.O.A.T

9th wonder,Appolo Brown.Dre kuwa na team ya watu nyuma yake wanaomsaidia katika production hii unaichukuliaje??
Mashabiki wa Dre ni wanajifanya hawajui (au ni kweli kwamba hawajui) kwamba pale Aftermath records kuna producers kibao walifanya na wanafanya kazi nyuma ya production za Dre na hawapewi credits zote zinaenda kwa jamaa... why?...kuna jamaa anaitwa Storch yeye alikua Aftermath anapiga piano lakin zikitoka hits credits zote kwa Dre!! Kuna vipaji kibao tuu nyuma ya Dre, watu kama akin Mel mann ila hawa mashabiki wa Dre badala ya kuleta hoja wanaleta kejeli eti 'umekula maharage ya wapi' Mara uache kula chakula kilichochacha unaangalia comments zao unaamua kutemana nao tuu

Dre is a good producer but sio kwa kiasi hicho mnachotaka aonekane
 
Huwezi kufanya kilakitu pekeyako, hata huyu Majani tunayemsifia bongo wako watu wengi nyuma yake walikuwa wakimsaidia
 
Kuna kijana anaitwa J Cole. Aisee mm huyu mtu namkubal sana yaan kwangu mm huyu yuko kwenye top 5 ya GOAT.

Ila najua nitatofautiana na weng ila cku huyu mwana akidanja Ndó itajulikana ukubwa wake kama nipsey

#coleworld
 
true, kwenye still dre,Dre alifanya drums na mixing tu, lakini credits zote kwake
 
Huwezi kufanya kilakitu pekeyako, hata huyu Majani tunayemsifia bongo wako watu wengi nyuma yake walikuwa wakimsaidia
Miongoni mwa hao Ni Soggy Doggy Anter!pika mambo matamu sana kwenye album kama la Ngwea lile ila misifa yoote kwa majani
 
Kuna kijana anaitwa J Cole. Aisee mm huyu mtu namkubal sana yaan kwangu mm huyu yuko kwenye top 5 ya GOAT.

Ila najua nitatofautiana na weng ila cku huyu mwana akidanja Ndó itajulikana ukubwa wake kama nipsey

#coleworld
Kuna huyu Kendrick Lamar anapaishwa sana ingawa mimi binafsi namuona wa kawaida
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom