Trash!!
List iko hivi;
1. Eminem
2. Tupac
3. Nas
4. Andre 3000/Notorious BIG
5. Jay z
Ndiyo.Yani Nas na Jay Z ni bora kuliko Dr Dre?
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.Yani Nas na Jay Z ni bora kuliko Dr Dre?
Ndio Nas ni bora kuliko Jay z na Dr dreYani Nas na Jay Z ni bora kuliko Dr Dre?
Umemaliza mjadala mkuuIko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.
Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)
Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.
Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!
No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;
5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier
Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
then production ya dre kuna team ya watu nyuma yake,unalichukukiliaje hili?Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.
Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)
Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.
Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!
No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;
5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier
Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.
Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)
Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.
Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!
No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;
5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier
Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
Sasa fabilous anaingiaje hapo alafu nas hayupo? Au ni picha tu ila haumaanishi?
Dr. Dre kama rapper, kaachwa chamazi Nas. Kama producer ni the GOAT.Yani Nas na Jay Z ni bora kuliko Dr Dre?
Sasa fabilous anaingiaje hapo alafu nas hayupo? Au ni picha tu ila haumaanishi?
Dr. Dre kama rapper, kaachwa chamazi Nas. Kama producer ni the GOAT.
Rakim ndo foundation yenyewe katika skills za uandishi na flowsRAKIM mbona hatajwi humu ?au wengi mlikuwa hamjazaliwa wakati anachana