Hip Hop G.O.A.T

Benevento

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
4,982
29,535
Dr Dre msanii bora wa hip hop wa mda wote Greatest Of All Time.

ACD2E6DA-7040-4DA3-AB9D-80421CEA3E19.jpeg
 
Yani Nas na Jay Z ni bora kuliko Dr Dre?
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.

Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)

Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.

Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!

No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;

5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier

Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!
 
Umemaliza mjadala mkuu
 
then production ya dre kuna team ya watu nyuma yake,unalichukukiliaje hili?
 
Iko hivi bro, Dre na Nas wote ni wakali..sana tena! Ila ni ukweli usiopingika kwamba Dre anajulikana zaidi kwa producing while Nas kwa emceeing.

Na hata iweje, kwa list yoyote ile atakayotoa mtu anaejua game basi lazima Nas awepo kwenye top 3 yake (Rapping)

Ila when comes to Producing huyo Dre anaachwa mbali hata na DJ Premier, Pete Rock na RZA...they are way better producers than Dre.

Kwa mantiki hiyo basi hata kama ikilazimishwa comparison kati ya Nas na Dre Nas wins!

No disrespect kwa Dre,
Nikitaja list yangu ya Hiphop producers wa all time inakua hivi;

5. Kanye west
4. Dre
3. Pete rock
2. RZA
1. DJ premier

Wakati nikitaja list ya emcees hakai hata top 10!!

Yani kwa ujumla rapping and producing Dre ni GOAT ndo mana ukiangali Eminem sasa hivi sio hatari kwa sababu Dre ndo alinfanya awe bora
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom