Hilo la leo limeniuma sana

Pole mkuu kama nitazidi kukufanya ujihisi vibaya zaidi ya sasa, ila fanya jambo kuhusu uandishi wako tafadhali,

tunategemea walimu ndiyo wawe mstari wa mbele kuhimiza uandishi ulio bora kuliko kada nyingine.
 
Matukio ya kutekana yamekithiri sana labda alikuwa ana hofu unaweza kumbeba mkuu wake
 
Vijana jiitahidini kuwa na plan B badala ya kuendelea kujidhalilisha. Nchi bado ina fursa nyingi sana za kiuchumi na zinazohitaji mtaji kidogo tu.

Naongea hivi through experience. Mkiamua, inawezekana kabisa.
 
Hapo tu interview umeshindwa. Kwahiyo hata ukifiwa unakuwa excited 😊 πŸ€— πŸ€ͺ πŸ˜ƒ πŸ˜„ πŸ˜›!!!
 
I was so disappointing.
Anyway pole hii inatokea sana hasa ukiwa kwenye harakati za utafutaji.
 
Msomi msomi msomi. Inakuaje unampa barua yako mlinzi, kwani mapokezi hupajui ?. mlinzi kazi yake ni kulinda mlinzi wa darasa la Saba na kusomea cv wapi na wapi?, ww ulisikia wap ?.
 
I was to excited,nikingereza cha wapi ndugu mwalimu?Bora ata mlinzi hakufikisha iyo cv maana tayari ungekosa iyo kazi.
 
Ni ticha biology huyu acheni kumshangaa english chenga, haya me nakutest wewe ni wa kingdom gani??

Ukijibu Plantae /Fungi andaa viboko huko tukucharaze utatuharibia watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…