Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,492
- 145,840
Sijui Hillary ana matatizo gani tu!
Juzi alikuwa huko India ku promote kitabu chake na katika matembezi yake sijui nini kikamtokea akataka kudondoka mara mbili akishuka kwenye ngazi.
Bibi anatia huruma.