Hill View Hotel ya Mbeya ni Mali ya Nani

Hongereni Mbeya kwa kuendelea kuongeza hoteli zenye hadhi, na hili ni jema ili kuwa na hoteli nyingi na nzuri kama maandalizi ya kuwahudumia wageni hasa uwanja wa Songwe utakapoanza kufanya kazi. Suala la nani kajenga, nadhani lisiumize vichwa sana, maadamu amewekeza nchini nadhani ni jambo jema kuliko walioficha za kwao uswiss!
 

Na huo utaanza kufanya kazi lini?
 
Kuna siku utaanza tuu, Mbeya wajipe moyo
 
Bujibuji nadhani umedanganya sie tunajua ni ya Simon Jatuna agent wa serengeti na msindikaji mkubwa wa nafaka hapa Mbeya. Jamaa ni mjasiliamali mzuri na kajenga kitu kizuri binafsi nampongeza ila sio five star
 
Kwa kweli aliyewekeza Hotel hii nampa pongezi za dhati kabisa maana Hotel ya maana iliyokuwepo ni BEACO Resort ambapo nilikuwa nikiona ndio ya maana kwa Mbeya so kwa kuwa sasa ni Jiji inastahili zaidi ya hii na BEACO.
 
This is not a five star hotel by any acceptable standards, it could range between 1-3 stars

fyuuuuuuuuuuuuu
 
Ukisema hiyo ni 5 Stars utakuwa unakosea, Lake Tanganyika Hotel ya mjini Kigoma pamoja na ubora wake kuwa juu kuliko hiyo bado ni 4 Stars.
5 Stars sio mchezo inabidi mwekezaji ajipange...
 
Utasikia kuna mtu ataropoka ya Riziwani ngoja tusubiri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…