Hill View Hotel ya Mbeya ni Mali ya Nani

Hill View Hotel ya Mbeya ni Mali ya Nani

Nilidhani Mnt Livingstone hotel ndio namba moja. Anyway i hav fogotten much but still remember totos za hapo mjini and the hilarious joke about Wahaya sex worker kushemsha mbeya. They just cuoldnt cope na speed ya dada wetu Wanyakyusa.
 
Ukisema hiyo ni 5 Stars utakuwa unakosea, Lake Tanganyika Hotel ya mjini Kigoma pamoja na ubora wake kuwa juu kuliko hiyo bado ni 4 Stars.
5 Stars sio mchezo inabidi mwekezaji ajipange...
Hata hapo haijafikia,hiyo ni sawa tu na hoteli za Sinza kama Delfrance,Wanyama n.k
 
:boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink:
 
Kwa hesabu za haraka haraka zile billioni za Uswizi zingejenga ngapi kama hizo kama wenyewe wangeamua kuwekeza hapa nchi? Mbahati mbaya sana wanatuibia halafu wanapelekea wazungu.
 
Back
Top Bottom