cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 351
Bujibuji nadhani umedanganya sie tunajua ni ya Simon Jatuna agent wa serengeti na msindikaji mkubwa wa nafaka hapa Mbeya. Jamaa ni mjasiliamali mzuri na kajenga kitu kizuri binafsi nampongeza ila sio five star
Anaitwa Simon Gatuna,alikua na mashine pale pembeni ya airport za Kusaga mazao, kampuni yake inaitwa "Trade Packers"Kipindi kile jamaa wengi serikalini walikua wanajificha nyuma ya kivuli cha huyu jamaa,hasa waliokua TRA.huyu jamaa ana asili ya Kenya.Sasa nime confirm kuwa ipo uzunguni ,karibia na mkuu wa mkoa.nilipita mitaa hiyo 2010,nikakuta ndio panajengwa.Pamekua mahali pazuri.Eneo hilo lilikua na mgogoro jamaa alitaka kuvuliwa kwani inaonekana alikabidhiwa na ofisi ya ubalozi,kama sijasahau ni wa SA.