Hongereni Mbeya kwa kuendelea kuongeza hoteli zenye hadhi, na hili ni jema ili kuwa na hoteli nyingi na nzuri kama maandalizi ya kuwahudumia wageni hasa uwanja wa Songwe utakapoanza kufanya kazi. Suala la nani kajenga, nadhani lisiumize vichwa sana, maadamu amewekeza nchini nadhani ni jambo jema kuliko walioficha za kwao uswiss!
Mid or late this very December!Na huo utaanza kufanya kazi lini?
Na huo utaanza kufanya kazi lini?
jana nilimsikia baba ake Miraji kwenye kideo akisema utaanza disemba
Mid or late this very December!
jana nilimsikia baba ake Miraji kwenye kideo akisema utaanza disemba
yupi huyo inamzungumzia au yule wa magogoni (miraji mkw.ere)