Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Sasa TANDALE Hayo Maua Nitayafugia Wapi Na Huyo Mbwa au Paka Si Nitamtesa Tu Dada? Pilikapilika Za Huku Tu Uswazi Kwetu Tayari Ni Maua Tosha. Hujiulizi Tu Kwanini Mbwa Na Paka Wengi Wa Huku USWAZINYO Wamekondeana?
ila kweli nadhani soon utakuwa na kwako
 
Ktk Watu Ambao NAWAHESHIMU Na KAMWE Sitokuja Kumvunjia Humu HESHIMA Yake Ni Huyu Hivyo Kama Unategemea Nitakuwa POPOMA Nikuwekee Humu Picha Yake Utasubiri Mno Mkuu. Aliyekuambia Uwe Na Demu Mwenye Sura Ya " UGOKO " Nani?
Ahaaaa!!! Aaahaaa!!!..Sura Ya Ugoko!!!
 
duhsi mbaya ila wanatia balaa magari yao bora awe demu mmoja tu.. unakuta mademu sita wote anawafumulia ndani ya gari.. huyo gari itakuwa inanuka manii za kike na za kiume tu loh

Kuna Siku Mshikaji Mmoja Alinipa Lifti Lakini Tokea Nipande Ile Gari Yake Muda Wote Nilikuwa Nasikia Harufu Kama Panya Kaozea Vile Ndani Mule au Kuna Kitu Kimevunda Na Cha Kushangaza Muda Wote Huo Mimi Nataabika Na Harufu Mwenzangu Ndiyo Kwanza Ananua MADAFU Anakunywa Mule Mule Ndani Halafu Kuna Kipindi Alikuwa Ananiambia Anataka Afunge Vioo Ili Awashe AC Nikamwambia " Usinitanie ". Kumbe Unataka Kuniambia MSETO Wa HARUFU Za PAPUCHI Ni Air Pollution Tosha?
 
Ktk Watu Ambao NAWAHESHIMU Na KAMWE Sitokuja Kumvunjia Humu HESHIMA Yake Ni Huyu Hivyo Kama Unategemea Nitakuwa POPOMA Nikuwekee Humu Picha Yake Utasubiri Mno Mkuu. Aliyekuambia Uwe Na Demu Mwenye Sura Ya " UGOKO " Nani?
Mulemule. Basi sawa.
 
Ndiyo Maana Daladala Zingine Utakuta Hazina Kosa Lolote Lakini Zinasimamishwa Na Matrafiki Na Kupigwa Mabao Kumbe Nuksi Imeanzia Mbali Sana.
Kufanya mambo yetu kwenye daladala hakuhusiani na kupigwa na daladala.....
 
Kufanya mambo yetu kwenye daladala hakuhusiani na kupigwa na daladala.....

Kwani Wewe Unavyoelewa NUKSI Ni Nini? Na Nini KISABABISHI Chake? Hivi Unajua Madhara Ya NAJISI Wewe Kama Kweli Ni Mtu Wa IMANI? Na Ndiyo Tabia Hizi Hizi Za Vijana Wa Leo Kujifanya TUNAJUA Na TUMEPIGA Hatua Hadi Tunadharau Mambo Mema Na Ya Kufundisha Ya Akina Babu Na Bibi Zetu Hatimaye Vijana Wa Leo TUNAPUKUTIKA Huku Tukisahau MAADILI Na Kutekwa Na UTANDAWAZI Ambao Hata Hivyo Tumeupokea Ndivyo Sivyo.
 
Mkuu Umesababisha Nivunjike Mbavu Hadi Nimeangusha Glasi Ya Maji. Akhsante Kwa Kuniongezea Siku Za Kuishi Na Kunichekesha Leo!

Mkuu unamiliki glasi ya maji kumbe?

Mi natumiaga vikombe tu
 
Mkuu unamiliki glasi ya maji kumbe?

Mi natumiaga vikombe tu

Hata Ronaldo Anatamani Sana Na Mno Kuwa Kama Messi Lakini HAIWEZEKANI. Classes Hazijaanzia Tu Duniani Bali Hata Mbinguni Kwa Mwenyezi Mungu Wakati Wa UUMBAJI Aliweka Classes. Soma Vizuri Vitabu Vya DINI Utaelewa Ninachomaanisha!
 
Huu uzi ungeambatana na picha ungenoga zaidi.
 
Huu uzi ungeambatana na picha ungenoga zaidi.
 
Back
Top Bottom