Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Mbona jamaa kakusifia sana miss chagga

Na mimi kwa niaba ya wote tunataka kuiona hiyo picha!

Tulia Wewe Kijana. Huyu Dada Nakuambia Ni Bonge La Totoz La Kichagga Halafu Hata Mpendwa Wangu Nifah Anasubiri Sana Labda Aende MLINGOTINI.
 
Bidada Mada Za KUNGONOKA Huwa Unakuwa Very Active Humu JF Sijui Kwanini. Nimependa Mno Ile Picha Yako Kule ( Zoa Zoa Platform ) Na Naomba Nikupongeze Kuwa Hakika Mwenyezi Mungu AMEKUUMBA. Je Ile Picha Ni Ya Hivi Karibuni au Ya Tangu Uko Skonga Labda? Napenda Sana Rangi Yako Na Unaonekana Ni Mtu Mmoja Muungwana Na Unayejiheshimu Halafu Mkarimu. Hizi SIFA Ninazokupa Hapa Usidhani Labda Nakutania Bali NIMEMAANISHA. Na Sasa Siyo Ndiyo Uende Ukaitoe. Ktk Warembo Jua Kuwa Na Wewe UMO Na Ukiona Mpaka Mimi NAKUSIFIA Hivi Jua UNATISHA Bidada. Wewe Siyo Tu Kwamba Ni Beautiful Bali Ni Very Pretty. Umenifanya Nimwonee Wivu Mno DEREVA WA HILO GARI!
Mh! hiyo misifa inaonekana si mchezo. Tupia hapa mkuu na sisi tufaidi.
 
ha ha ha ujapenda hilo ua wewe?

Halafu Leo Naomba Kujua Hivi Kwanini Unapenda Mno Maua? Hata Kule " Zoa Zoa Platform " Umejaza Maua Mengi Na Kuna Moja Hata Mimi Nimelipenda Bidada. Inaonekana Unapenda Sana HARUFU Na Wanaume Watakaotaka Kukutongoza Wakija Na Harufu Zao Za " Ze Kwapaz " Lazima Utawatoa Tu Nishai Ila Mnyamwezi Akija Kajipulizia Mapafyumu Ya Maana Kidogo Unaweza Kumfikiria au? Ukiwa Mzee Nahisi Utakuwa Mfugaji Mzuri Sana Wa NYUKI.
 
Inawezekana ikawa ni sababu pia....
duhsi mbaya ila wanatia balaa magari yao bora awe demu mmoja tu.. unakuta mademu sita wote anawafumulia ndani ya gari.. huyo gari itakuwa inanuka manii za kike na za kiume tu loh
 
maua nyumbani yanakupa relief hata nikiwa na hasira sina furaha nikitoka nje nikakutana na maua ooh moyo wangu unasuhuzika sababu nitafanya mawili matatu pale kwenye bustani nikitoka hapo hasira inakuwa imepungua ... jaribu kuwa na maua nyumbani kwako uone raha yake na ukawa na mbwa au paka karibu tena nyumba inapendeza
 
Mh! hiyo misifa inaonekana si mchezo. Tupia hapa mkuu na sisi tufaidi.

Ktk Watu Ambao NAWAHESHIMU Na KAMWE Sitokuja Kumvunjia Humu HESHIMA Yake Ni Huyu Hivyo Kama Unategemea Nitakuwa POPOMA Nikuwekee Humu Picha Yake Utasubiri Mno Mkuu. Aliyekuambia Uwe Na Demu Mwenye Sura Ya " UGOKO " Nani?
 
maua nyumbani yanakupa relief hata nikiwa na hasira sina furaha nikitoka nje nikakutana na maua ooh moyo wangu unasuhuzika sababu nitafanya mawili matatu pale kwenye bustani nikitoka hapo hasira inakuwa imepungua ... jaribu kuwa na maua nyumbani kwako uone raha yake na ukawa na mbwa au paka karibu tena nyumba inapendeza

Sasa TANDALE Hayo Maua Nitayafugia Wapi Na Huyo Mbwa au Paka Si Nitamtesa Tu Dada? Pilikapilika Za Huku Tu Uswazi Kwetu Tayari Ni Maua Tosha. Hujiulizi Tu Kwanini Mbwa Na Paka Wengi Wa Huku USWAZINYO Wamekondeana?
 
duhsi mbaya ila wanatia balaa magari yao bora awe demu mmoja tu.. unakuta mademu sita wote anawafumulia ndani ya gari.. huyo gari itakuwa inanuka manii za kike na za kiume tu loh
Come oooon Miss....
 
duhsi mbaya ila wanatia balaa magari yao bora awe demu mmoja tu.. unakuta mademu sita wote anawafumulia ndani ya gari.. huyo gari itakuwa inanuka manii za kike na za kiume tu loh
lakini bibie hivi unajua kufanya mapenzi sehemu isiyo rasmi ni burudani mtambuka? pichu magotini na kuchuma matembele juu yake ni kiburudisho cha nafsi
 
Raha ya chakula ubaki na ham nacho sio uki nai. Sasa fikirie mwenyewe hapo inakuaje mkuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hayo maeneo ni mazuri tena ndo patamu naenjoy sanaa...Chap chap mpango mzima
 
Back
Top Bottom