Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Hili wimbi la wanaume wengi sasa hivi...

Bidada Mada Za KUNGONOKA Huwa Unakuwa Very Active Humu JF Sijui Kwanini. Nimependa Mno Ile Picha Yako Kule ( Zoa Zoa Platform ) Na Naomba Nikupongeze Kuwa Hakika Mwenyezi Mungu AMEKUUMBA. Je Ile Picha Ni Ya Hivi Karibuni au Ya Tangu Uko Skonga Labda? Napenda Sana Rangi Yako Na Unaonekana Ni Mtu Mmoja Muungwana Na Unayejiheshimu Halafu Mkarimu. Hizi SIFA Ninazokupa Hapa Usidhani Labda Nakutania Bali NIMEMAANISHA. Na Sasa Siyo Ndiyo Uende Ukaitoe. Ktk Warembo Jua Kuwa Na Wewe UMO Na Ukiona Mpaka Mimi NAKUSIFIA Hivi Jua UNATISHA Bidada. Wewe Siyo Tu Kwamba Ni Beautiful Bali Ni Very Pretty. Umenifanya Nimwonee Wivu Mno DEREVA WA HILO GARI!
Tumia akili
 
Back
Top Bottom