Hili Tunda nimeli Miss sana jamni

Hili Tunda nimeli Miss sana jamni

Wanyiramba wa singida wanayaita (MAGONA KUUNZI) Ikimaanisha kwa kiswahili MALALA NJE
 
944436_10200099623957278_2137512775_n.jpg



Mnalijuwa jamani hili tunda ? ni tunda gani? cc Boflo
Masharti ya ulaji......usile moja tu.......usimeze punje...tamu ni zile unazolia juu ya mzambarau
Mizambarau enzi zile imewatia vilema watoto wengi sana mitoto ya siku hizi haina cha kusimulia...inaomba pesa inakwenda kujinunulia supermarket.............!
 
Zambarau! dah.....nadhani kisutu sokoni zitkauwepo! nilikuwa nanunua hapo kipindi fulani...............
 
MziziMkavu hizo ni zambarau,
nakumbuka hata kinjia cha kwenda kwetu hiyo miti ipo
na kila unapopita hiyo njia unaokota matunda,

Huko uliko nako huwa yapo?
 
Last edited by a moderator:
Nilisoma kigurunyembe secondary napo ilikuwepo mingi sana
 
Usiombe uanguke, utajuta
naiogopa sana hii miti, inavunjika kama ubua

Ilimtengua binti mmoja kiuno hadi leo yuko tenge
 
Kwa wale mliosoma Changa Primary School (zamani St. Anthony), nadhani mtakuwa mnakumbuka sana hii bidhaa haswa msimu wa zambarau kule bondeni kama unaenda deep sea...
 
Back
Top Bottom