Hilo kiingereza ni peach na kiswahili kimetohoa 'pichi' kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili-English ya TUKI 2005View attachment 384673 View attachment 384673 wakuu msaada,eti hili tunda linaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?nilishawahi kulikuta mikoa ya nyanda za juu kusini,hasa kila eneo kukawa na jina lake tofauti,mwenye utaalamu naomba anisaidie nijue jina lake.
Umenikumbusha ngapi sana nakumbuka mbeya ukienda usafwani unayakuta ya kumwagaahilo tunaita fyulisi au tunda. ukija mbeya ukisikia "matunda" ujue ndiyo hayo.
wasambaa wanaita mafyoksi/matunda nyama....View attachment 384673 View attachment 384673 wakuu msaada,eti hili tunda linaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?nilishawahi kulikuta mikoa ya nyanda za juu kusini,hasa kila eneo kukawa na jina lake tofauti,mwenye utaalamu naomba anisaidie nijue jina lake.
Eeeh yawa!hayo uku kwetu tunayaita ma fyantonoba
MishmishiView attachment 384673 View attachment 384673 wakuu msaada,eti hili tunda linaitwaje kwa kiswahili na kiingereza?nilishawahi kulikuta mikoa ya nyanda za juu kusini,hasa kila eneo kukawa na jina lake tofauti,mwenye utaalamu naomba anisaidie nijue jina lake.
hahahaahah..in tie nyako? itakuwa kuna mtu ameni hack ID yanguEeeh yawa!