Hili tunda linaitwaje?

Hili tunda linaitwaje?

Mafyododo, ndio matunda , makusu, makuyu, masasati, makatapera ni kamatu yanavyoitwa. Ila ukisema tunda Ni mafyulisi tu
na hii ni special kwa wasafwa, kwa msafwa tunda ni fyurisi na si vinginevyo.... japo mafyurisi yanapotea sana mbeya kwasababu ya watu kujenga. na mafyurisi ya pale mjini ni madogo ma machachu tofauti na isyonje na namba one ambayo ni makubwa...
 
Namba one ndio wapi; UPOROTO?
 
nafikiri na SONGWA nazo unazijua mkuu japo hizi ndo zipo ukingoni kabisa kupotea...
Screenshot_20201230-054301.png
 
na hii ni special kwa wasafwa, kwa msafwa tunda ni fyurisi na si vinginevyo.... japo mafyurisi yanapotea sana mbeya kwasababu ya watu kujenga. na mafyurisi ya pale mjini ni madogo ma machachu tofauti na isyonje na namba one ambayo ni makubwa...
Wanazingua sana. Watu wanajenga nyumba wanasahau kupanda matunda(mafyulisi). Ila haya makubwa ya kisasa hayachelewi kuharibika na ladha ni moja plain. Tule tudogo tuna aina nyinginyingi.
 
Back
Top Bottom