kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,065
mapindigesi siku hizi iringa yamepotea
Siyo ila yamefanana. Tufaa linapatikana sehemu za joto. Hilo ni peach tunda la sehemu za baridiMatufaa.
Pichesi au matipisikwa kichaga pichesi
Mi msambaa tunaita mafyoksi. Matunda nyama ni aina nyingine kabisa, umenkumbusha kwetu Lushoto.
Sawa sawa.. fyulishilo tunaita fyulisi au tunda. ukija mbeya ukisikia "matunda" ujue ndiyo hayo.

ushe uteiya kuonga kishambaa?Mi msambaa tunaita mafyoksi. Matunda nyama ni aina nyingine kabisa, umenkumbusha kwetu Lushoto.
Mafyoksi ... uyo auko nyika hateia kishambaaushe uteiya kuonga kishambaa?
aonga kizungu du?Mafyoksi ... uyo auko nyika hateia kishambaa
Hahahaha eeeeh osie zumbe. Mia nawe zina jako njakizungu au nawe utabahatishaaonga kizungu du?
Kwa iyo mteamua kunteta ushe? Mueke ushoongeezo, imi nnyika mia kishambaa naachitaia vyediaonga kizungu du?
Iwe uuko nyika hambu ukaya?Hahahaha eeeeh osie zumbe. Mia nawe zina jako njakizungu au nawe utabahatisha
Zina jangu njakiswazi aonga lugha zoshe za kibantu mghoshi...Hahahaha eeeeh osie zumbe. Mia nawe zina jako njakizungu au nawe utabahatisha
Hetikuonga ila titakusifia iwe kuti umzungu..Kwa iyo mteamua kunteta ushe? Mueke ushoongeezo, imi nnyika mia kishambaa naachitaia vyedi