Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,903
Nilijua ni KOKOMANGAkomamanga!!!!!
Naona wote wanakujibu kwa kiswahili...sijui ni wote hawana lugha za kikwao (kikabila)? au ndo lengo lako mkuu kupata jina la kiswahili? anywayz kikwetu linaitwa ekimansimansi
Wewe ndio haupo katika hii dunia yetu kabisa pole sana.Silifahamu aiseee
Aisee kumbe wewe ni mchina? Vipi na wewe umewekeza kariakoo?석류 나무 .
kumamanga
Aisee ahsante sana, kwenu pazuri ile mbaya.