Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

Ulalamishi umezidi sana,mbona rais ameweka data. Hakuna benki inayipa serikali gawio kubwa kama nmb,kodi walipa kubwa,ajira ya watanzania wengi,benki inayohudumia watz wengi na inapatikana sehemu nyingi kama rtd.
Acha wafaidi bana,na hizi benki nyingine zikaze kwenye uwekezaji sio zinabaki mjini tu.
Gawio kubwa linakujaje?si lazima ununue Hisa?kwann serikali isinunue hisa kwenye hayo mabenki mengine pia?maana benki nyingine pia zina bei nzuri kuliko hata NMB na pia zina perform vizuri..naona umejibu bila kufikiria
 
Kama DAR mnaongozwa na formo four failure mnategemea nini? Kiongozi wangu Mkuu ni mbumbumbu wa uchumi! Eti Bashite naye anashauri maswala ya uchumi, kichekesho!!!
 
Hivi hili tangazo linatangazwa popote pengine tofauti na Mawingu FM? NMB wamedeclare kama wao ndo wamelifadhili?

Nililisikia mara moja na wale watangazaji walilichomekea kijanja bila kusema kitu...as if walikuwa wanarusha tu kipande cha hotuba ya Rais alipokuwa kwenye ziara.
 
Hili tangazo halina weledi kabisa
Yana kana kwamba benki zingine hazilipi kodi
Nadhani mkuu aliongea kwa kujifurahisha tu
Lakini hawa nmb wameichukulia serious, halifai kabisa hilo tangazo
 
Ningeomba presidential decree ipite mara moja kwenye hili tangazo la kibiashara linalotia hasira na kueneza chuki kwa banking industry nzima.

Mara ya kwanza kutolewa hii kauli, tuliijadili hapa jukwaani na ikaonekana kwamba alichofanya Mh. hakikuwa kitu chenye afya hata kidogo kwa misingi ya kwamba;

1) Bank zote nchini ni za kibinafsi, ikiwa na maana umiliki mkubwa ni wa watu binafsi. Japokuwa kwa bank zilizoenda public, serikali haikuzuiwa kununua share.

2) Bank zote zinahudumia watanzania na zinalipa kodi.

3) Hoja ya kwamba serikali ikipata dividend basi ni faida kwa watanzania ni hoja dhaifu mno mno mno.

Sijui mtizamo wa Rais ulikuwa ni upi lakini ki tafsiri ya haraka ni as if anaona ni raha Tanzania tuwe na NMB peke yake.

So, literally unaweza kusema ni kampeni dhidi kuziangusha benki nyingine. Kwa faida gani tutapata nchi ikiwa na NMB peke yake?

Sijajua pia sheria zanasemaje, kuchukua hotuba ya Rais na kuifanya tangazo. Tangazo lenye dhima ya kuua ushindani wa kibenki.

Halafu sio afya kabisa, sijajua pia italeta taswira gani kwa wafanyakazi wa serikali wanaoomba facilities kwenye benki nyingine.. Naona kama tunatengeneza mazingira magumu pia kwa wafanyakazi wa serikalini.

Sitegemei kulisikia tena hili tangazo redioni. Ni kama vile mtu anakushawishi umchukie Rais.

Fungieni hilo tangazo kwa afya ya ustawi wa banking industry.
povu.
 
Raisi Magufuli na viongozi wake kwakweli wanahitajika kuombewa, kwakauli zinazotolewa zinakatisha tamaa, industry ya Kibank ndiyo yenye ushindani na yenye kuongeza kipato kwa taifa kwaujumla na kuinua kipato kwa wananchi, sasa kwakauli zakuvutia upande mmoja zisizokuwa na tija nihatarishi kwa nchi yetu.
 
acha uongo wewe CRDB haijawahi kuikopesha serikali
Kwani miradi kama ya mtibwa sugar,Kilombero na mingine wametoa wapi mikopo? Embu fuatilia kabla hujakanusha kitu.naona watu mnachanganya siasa na biashara...kuuwa ushindani wa biashara kati ya mabenki its not healthy at all.
 
Ni kweli kabisa yaani hiyo nikama katika familia baba kumpendelea mtoto mmoja Na kuwaacha wengine hiyo kitu ina demoralize sana uchumi wa nchi Na ukizingatia benki Zinachangia kwa kiasi kikubwa kwenye ajira Za watanzania.
 
Banking Industry inatakiwa kupewa saport kubwa na kuhakikisha inafanya vizuri kwakuwa inachangia ktk ukuaji wa uchumi wetu. Mh. Rais anatakiwa ahakikishe benki ambazo hazifanyi vizur zinatafuta njia mbadala ili zifanye vizur na kuongeza pato la nchi.
 
Ningeomba presidential decree ipite mara moja kwenye hili tangazo la kibiashara linalotia hasira na kueneza chuki kwa banking industry nzima.

Mara ya kwanza kutolewa hii kauli, tuliijadili hapa jukwaani na ikaonekana kwamba alichofanya Mh. hakikuwa kitu chenye afya hata kidogo kwa misingi ya kwamba;

1) Bank zote nchini ni za kibinafsi, ikiwa na maana umiliki mkubwa ni wa watu binafsi. Japokuwa kwa bank zilizoenda public, serikali haikuzuiwa kununua share.

2) Bank zote zinahudumia watanzania na zinalipa kodi.

3) Hoja ya kwamba serikali ikipata dividend basi ni faida kwa watanzania ni hoja dhaifu mno mno mno.

Sijui mtizamo wa Rais ulikuwa ni upi lakini ki tafsiri ya haraka ni as if anaona ni raha Tanzania tuwe na NMB peke yake.

So, literally unaweza kusema ni kampeni dhidi kuziangusha benki nyingine. Kwa faida gani tutapata nchi ikiwa na NMB peke yake?

Sijajua pia sheria zanasemaje, kuchukua hotuba ya Rais na kuifanya tangazo. Tangazo lenye dhima ya kuua ushindani wa kibenki.

Halafu sio afya kabisa, sijajua pia italeta taswira gani kwa wafanyakazi wa serikali wanaoomba facilities kwenye benki nyingine.. Naona kama tunatengeneza mazingira magumu pia kwa wafanyakazi wa serikalini.

Sitegemei kulisikia tena hili tangazo redioni. Ni kama vile mtu anakushawishi umchukie Rais.

Fungieni hilo tangazo kwa afya ya ustawi wa banking industry.
Ningeomba presidential decree ipite mara moja kwenye hili tangazo la kibiashara linalotia hasira na kueneza chuki kwa banking industry nzima.

Mara ya kwanza kutolewa hii kauli, tuliijadili hapa jukwaani na ikaonekana kwamba alichofanya Mh. hakikuwa kitu chenye afya hata kidogo kwa misingi ya kwamba;

1) Bank zote nchini ni za kibinafsi, ikiwa na maana umiliki mkubwa ni wa watu binafsi. Japokuwa kwa bank zilizoenda public, serikali haikuzuiwa kununua share.

2) Bank zote zinahudumia watanzania na zinalipa kodi.

3) Hoja ya kwamba serikali ikipata dividend basi ni faida kwa watanzania ni hoja dhaifu mno mno mno.

Sijui mtizamo wa Rais ulikuwa ni upi lakini ki tafsiri ya haraka ni as if anaona ni raha Tanzania tuwe na NMB peke yake.

So, literally unaweza kusema ni kampeni dhidi kuziangusha benki nyingine. Kwa faida gani tutapata nchi ikiwa na NMB peke yake?

Sijajua pia sheria zanasemaje, kuchukua hotuba ya Rais na kuifanya tangazo. Tangazo lenye dhima ya kuua ushindani wa kibenki.

Halafu sio afya kabisa, sijajua pia italeta taswira gani kwa wafanyakazi wa serikali wanaoomba facilities kwenye benki nyingine.. Naona kama tunatengeneza mazingira magumu pia kwa wafanyakazi wa serikalini.

Sitegemei kulisikia tena hili tangazo redioni. Ni kama vile mtu anakushawishi umchukie Rais.

Fungieni hilo tangazo kwa afya ya ustawi wa banking industry.
Hahahaha

Yaani mambo ya monopoly tulishaachana nayo naona ndo mnapotaka turudi Tena, anyway wamepata muigizaji mzuri watangazo Lao.
 
tangazo na kumchukia Rais wapi na wapi kilaza mkubwa wa kufikiri wewe
 
Back
Top Bottom