Hili ni Ziwa Linalotoa Maji ya Mto/ Yanatokota kabisa

FM facts

Member
Mar 16, 2019
45
88
Ziwa Hili lipo Kusini Magharibi Mwa Jamhuri ya Dominica KM.10.5 Nje Kidogo ya Mji wa Roseau.. Lipo Ndani ya Hifadhi ya 'Morne Trois Pitons National Park'.

Ziwa Hili Lipo Tangu Miaka ya 1800 na Lilitokea Baada ya Kushuka Kwa Lava Milimani... Lipo Futi 100 juu ya Bonde/Mlima na Inaelezwa kuwa Maji Katika Ziwa Hilo ni Maji ya Moto na Kuna Muda Hufikia Nyuzi Joto 93C na Muda Mwingine Huonekana Yakitotokota Kabisa na Linakadiliwa Kuwa na Kina cha Urefu wa Kati ya Futi 200 -250
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom