Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 708
Hii ni Historia ilyofichwa na Wazungu.
Kati ya 1870 na 1940 Waafrika walikuwa na sehemu ya mataifa (races) waliokuwa wakipelekwa Ulaya kufanyiwa maonyesho yaliyokuwa hakiitwa- Colonial Exhibitions, Au Human Zoos, au Ethnographic Exhibitions. Waafrika walikuwa uchi wa mnyama, walipigwa picha na kuja kuangaliwa kwa kiingilio. Ilikuwa ni sehemu ya burudani. Vijiji vya mfano wa afrika vilijengwa nchini Ufaransa, Norway, Ujerumani, Finland, Uingereza, Italia, Amerika na kuwekwa waafrika kwa miezi mitatu hadi miezi 8. wageni walikuwa wakilipa fedha kama unavyoenda sabasaba.Walikuwa wamekwa kwenye uzio na wazungu wanachungulia. Hujafundishwa historia hii.
Kutoka Fb kwa kayoka