the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 836
- 1,109
Opportunity denied is opportunity transferred
Mchaga mwenzanguhahahahaha Malii Wassup hommie..
Wabeba box wanapendwa sana aisee, wanasema wananukia sana na sisi tunanuka kama beberu..
Hivi kwa nini hujibu meseji zangu PM?Mchaga mwenzangu
Mie ilishanitokea pia wakati niko kigori haswaaa. ... sikumkataa jamaa kwasababu hakuwa na mbele wala nyuma laah bali nilimkataa kwa sababu ya inheritance disease kwenye uko wao. Thank God alikuwa mawazo sana maana aliniambia kila kitu yeye mwenyewe.... jamaa alinizimikia sana pamoja na mengine mengi nyingine ya sababu ya kumwaga ni kuwa na mahusiano ya urafiki wa wadada wengi wazi wazi akijitetea just friends hamna kitu na mie ndo namba one wake........ Wivu ulinishinda nikaona siwezi mitaala mapema hii. Pia alikuwa mtu wa kabila ambao kwao wanavalue sana kuoana wao kwa wao. Mie akaniambia wewe hakuna atayekugusa wewe ni mimi na mimi ni wewe. Ila akaniwarn kuwa mama yake mzazi anaweza asipende pamoja na dada yake..... nikaona cha kuanza stress kabla ya mahusiano nini..... nikamwambia I just want to be among your friends tuu nothing else.
Maskini jamaa hakuamini. .... hadi mwaka juzi alikuwa hajaoa sijui kwa miaka 2 hii sijasikia habari zake.
A friend in deed and a friend in need with no string attached!!
Kasie.

Ni mtt wa wazri gan uyo???
Hahahaha etii ukoka mwingi kwa mbelee...wanajionaga malaika eehVery true achen aliepiga goti na kuomba mungu kamsikia kilio chake
hawa dada zetu wa zile nyumba zenye ukoka mwing na lami kwa.mbele wana maringo sana
hahahaha eti wenye ukoka mwingi na lami kwa mbele haha ..wanajionaga malaika ninVery true achen aliepiga goti na kuomba mungu kamsikia kilio chake
hawa dada zetu wa zile nyumba zenye ukoka mwing na lami kwa.mbele wana maringo sana
Usiache mbachao kwa msalo upitaoHADITHI mzuri sana,inatufunza nini yakheee?
Manka, hujamboo?Mchaga mwenzangu
Sijambo mbe/sirManka, hujamboo?
Sasa mbona siku ile hukutokea tena?Sijambo mbe/sir
Nilikuchungulia bila mafanikioSasa mbona siku ile hukutokea tena?
Ulichungulia?? Ulitaka kuona nini kilichojificha..Nilikuchungulia bila mafanikio
Hata sikukuona bana,sijui ulifichwa na nani vileUlichungulia?? Ulitaka kuona nini kilichojificha..
Mbona mi nilikuwa wazi tu..
Aaaahh wapi... Wewe unakimbia kaka zako unafata wasukuma..Hata sikukuona bana,sijui ulifichwa na nani vile
Ah nimehamia pengine bana. Wamenishinda wasukuma[emoji85]Aaaahh wapi... Wewe unakimbia kaka zako unafata wasukuma..
Endelea tu..
siku zote kupata usichotaka ni rahisi mapenzi hayana mwenyewe
hahahahaha umehamia wapi kwahiyo?Ah nimehamia pengine bana. Wamenishinda wasukuma[emoji85]