Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

Ukeinda

Mwanangu kama umefanya utafiti basi umeufanya vibaya. Hata Unguja siyo hivo ukiachilia mbali mikoa kama Ruvuma,Kagera, Mwanza, Mara na hata Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Si kweli hata kidogo. Msitake kutusilimisha kinamna hapa.
Mwanza Shinyanga Na Simiyu ndo usiseme. Si unajua wasukuma hawachagui majina ya Dini? Usukumani akina Ramadhani , Iddi,Rajabu, Shabani na Juma wakristo WaPo wengi vibaya mno. Yani I guess hata Shabani Juma wa Yanga atakuwa msukuma Kwa Sababu akina Shabani Juma usukumani WaPo wengi sana.

Akina Fatuma kanda ya ziwa WaPo wa kumwaga..

Halafu jina Fatuma/Fateema/Fatima Ni Jina takatifu miongoni mwa wakatoliki..
Kile kitongoji kiitwacho Fatima kilichopo Ureno ambako Bikira Maria aliwatokea Lucia, Francis Na Yasinta was named after Fatma who was the most favourite daughter of Prophet Muhammad , Peace Be Upon Him.

Hujaisikiaga kwaya ya OUR LADY OF FATIMA
 
Uongo mkuu! Wanawake kumi mmoja ataitwa fatuma? Labda kwenu Daslamu.
Mimi kwetu kijijini kina fatuma hawafiki watano kijiji kizima.
Kuna majina ni common kila sehemu hukosi ,mfano sisi shule ya msingi darasa moja watu 13 tulikuwa na jina moja
 
Mtoa mada ashasema kafanya utafiti wake,watu washaanza kunasibisha na dini tayar loohh kazi kweli kweli,Kanda ya ziwa huko hawachagui majina lolote tu linalotamkika kinywani twende nalo...
 
Mwanza Shinyanga Na Simiyu ndo usiseme. Si unajua wasukuma hawachagui majina ya Dini? Usukumani akina Ramadhani , Iddi,Rajabu, Shabani na Juma wakristo WaPo wengi vibaya mno. Yani I guess hata Shabani Juma wa Yanga atakuwa msukuma Kwa Sababu akina Shabani Juma usukumani WaPo wengi sana.

Akina Fatuma kanda ya ziwa WaPo wa kumwaga..

Halafu jina Fatuma/Fateema/Fatima Ni Jina takatifu miongoni mwa wakatoliki..
Kile kitongoji kiitwacho Fatima kilichopo Ureno ambako Bikira Maria aliwatokea Lucia, Francis Na Yasinta was named after Fatma who was the most favourite daughter of Prophet Muhammad , Peace Be Upon Him.

Hujaisikiaga kwaya ya OUR LADY OF FATIMA
Ndoto tupu. Hakuna cha utakatifu. Sehemu takatifu ni pale ulipozaliwa na si vinginevyo zaidi ya ukoloni, ulimbukeni na utumwa wa kujitakia.
 
Unamjua Maria wewe? Hilo jina common sana likifuatiwa na Jackline. Ukitaka kujua majina common tafuta umetembea na wangapi wanafanana majina. Mpaka hapa nimetembea na Jackline watatu wakati overall sijawahi zidi wanawake 12
12?

How old are you mate?

Aisee wewe mbinguni ni lazima
 
Sio kweli Kijiji ninachoishi Kuna wakazi 3,044 lakini jina fatuma ni aliwai kutokea binti mmoja aliondoka mwaka Jana bila taarifa yoyote ndiye alikuwa na jina ilo tena kwa uchunguzi wa ndani hata ilo halikuwa jina lake
 
Fatuma

Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.

The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Amina ndilo jina linaloongoza
 
Unamjua Maria wewe? Hilo jina common sana likifuatiwa na Jackline. Ukitaka kujua majina common tafuta umetembea na wangapi wanafanana majina. Mpaka hapa nimetembea na Jackline watatu wakati overall sijawahi zidi wanawake 12
Wewe unawaza mishe za pumbu tu.

🤣
 
Fatuma

Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.

The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Hapo umefeli kwani mtaani kwetu hakuna hata mmoja
 
Back
Top Bottom