Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

Mwaka 2005 nilishiriki katika kuandika daftari la kudumu la wapiga Kura. Katika wanawake Zaidi ya elfu nane nilio waandikisha Zaidi ya elfu tano Na Mia tano walikuwa wanaitwa Fatuma... Ilikuwa mjini Daslamu.
Kwa mikoa ya pwani na jirani ni sawa ila kwa mikoa ya bara majina kama Neema,Pendo ni wengi kuzidi wakina Fatuma.
 
Mimi wawili nimesoma nao primary na mmoja o'level .. aisee sasa wanasema hawaitwi FATUMA. eti ni fatma mara fetty! Sasa mimi kuwakera nawaita fatuma tena ile ya slow motion minuno k a au ma yote
🤣🤣🤣 Au unamuita Fatuma halafu unazuga kama ulikosea then unasema da sory Fatma.
 
Back
Top Bottom